Kwani ilikuwa lazima wanunue ugomvi usiowahusu wa Israel na Hamas ? Damu za Wa-Yemen wasio na hatia zinamwagika huku wajinga fulani wanawasifu Wa-Yemen hapa JF bila kuwasaidia hata kiberiti au maji ya kunywa.Wa Houth wa Tandale wanasemaje.
Hata marekani wanacho piaMajeshi ya Marekani bado yanaendeleza kipondo kwa Wahouth huko Yemen baada ya wao kununua ugomvi usiowahusu.
Majeshi ya Marekani usiku huu yameshusha kipondo cha kufa mtu kwa magaidi hao na kuacha bilion vikiwa vimetanda kwenye maeneo yaliyoshambuliwa na majeshi hayo.!!!
View attachment 3311488
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³Tunaendelea na ziara yetu Jana tulikuwa Galilaya. Lete habari!!!
Ubalikiwe sana mtumishTunaendelea na ziara yetu Jana tulikuwa Galilaya. Lete habari!!!
πͺTunaendelea na ziara yetu Jana tulikuwa Bethania. Lete habari!!!