Houth wazindua kombora la Hypersonic liitwalo Palestine. Makombora aina hiyo wengine walio nayo ni Urusi na Iran tu. China na Marekani bado linawatesa

There is no independent confirmation of those claims.
 
Hao Wahouthi chakula cha mchana kinawasumbua hayo Makombora wanayopewa na Ayatolah ndio wanajifanya kuwa wamezandua?!
 
Il
Akili za kishoga hizi yaani wewe nchi ikitengeneza Elcopter ndiyo inakuaje?

Watu wanatengeneza makombora ya masafa marefu yanaenda mpaka kilomita 3000 silaha za nyukulia.

Hata India anategeneza Chopa
Ila wanashindwa kumlinda Rahisi anakufa kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…