Houth wazindua kombora la Hypersonic liitwalo Palestine. Makombora aina hiyo wengine walio nayo ni Urusi na Iran tu. China na Marekani bado linawatesa

Houth wazindua kombora la Hypersonic liitwalo Palestine. Makombora aina hiyo wengine walio nayo ni Urusi na Iran tu. China na Marekani bado linawatesa

Wewe mlokole uwa nacheka sana anavyopambana na Iran😀😀..

Soma hii punguani sana yaani wewe upo Makete unataka kupambana na Iran.
Yemen’s Houthi rebels have unveiled a new, solid-fuel missile in their arsenal that resembles aspects of one earlier displayed by Iran that Tehran described as … Source: AP News Yemen's Houthi rebels unveil solid-fuel 'Palestine' missile that resembles Iranian hypersonic

Eti Iran hawana Hypersonic Missile wewe shabiki mandazi hauna unalojua mabwana zako ndiyo wanajua Iran ni nani wewe endelea kuuguza UTI.
There is no independent confirmation of those claims.
 
Hao Wahouthi chakula cha mchana kinawasumbua hayo Makombora wanayopewa na Ayatolah ndio wanajifanya kuwa wamezandua?!
 
Il
Akili za kishoga hizi yaani wewe nchi ikitengeneza Elcopter ndiyo inakuaje?

Watu wanatengeneza makombora ya masafa marefu yanaenda mpaka kilomita 3000 silaha za nyukulia.

Hata India anategeneza Chopa
Ila wanashindwa kumlinda Rahisi anakufa kipuuzi
 
Back
Top Bottom