Houthi kufanikiwa kuzamisha meli ya tatu kabla Vita vya Gaza kusitishwa

Bosi sikiliza nikuambie, intelijinsia ya wenzetu iko juu sana. Kinachotokea sisi watu wetu hasa wanasiasa wanafikika bei. Naishia hapo
 
Chief! Najua unajua kwa dhati kwamba, hao mashoga unaowaita wewe wakiwaamlia hao waja wa mnyeezi mungu, wiki moko tu wanafutika kabisa

Ni vizuri kuwaombea ili mnyaazi mungu awafungue akili waislamu wenzetu ili wathamini utu wao na maisha yao
Hao unaowaita waja wa mnyazi mungu wakisema tunafia imani HAKUNA JESHI LA WEST LINAWEZA KUPONA.
Ukitaka mifano ya vita nakutolea.
Hao wazungu wenyewe wanakwambia ni ngumu kushinda vita dhidi ya mtu anayeamini kufia imani.
Refer Somalia,hao USA walienda full mkoko na silaha kibao na walijizatiti ila Farah Aidid alichowafanya Yesu na Maria hawapendi.Ogopa sana hao jamaa wakisema TUNAPIGANIA IMANI YETU.
 
Hivi wewe hata nani alikuonyesha JF?unahoroja tu hapa.
Kwa hoja zako una kiwango cha chini sana cha elimu hata housegirl wangu humuwezi.
Jiangalie
 
Hivi wewe hata nani alikuonyesha JF?unahoroja tu hapa.
Kwa hoja zako una kiwango cha chini sana cha elimu hata housegirl wangu humuwezi.
Jiangalie
Haya nikiwa simuwezi house girl wako ndio nakufa?

Au wewe ndio house girl mwenyewe kijana

Pole lakini inaonekana una msongo wa mawazo yaani koment yangu hapa imekutoa povu lote hili

Ila usijali kuanzia j5 unaweza ukawa hunioni kwa muda kama wa miezi miwili au mitatu au usionione sana nahisi utakaa sawa

Au ramba ndimu utakaa sawa
 
Chief! Najua unajua kwa dhati kwamba, hao mashoga unaowaita wewe wakiwaamlia hao waja wa mnyeezi mungu, wiki moko tu wanafutika kabisa

Ni vizuri kuwaombea ili mnyaazi mungu awafungue akili waislamu wenzetu ili wathamini utu wao na maisha yao
Unadhani makafiri na hao mashoga wangekua na huo uwezo wangewaachia hao

Yaani hilo suala musahau kabisa wanatamani ila hawawezi hilo lipo ndani ya uwezo wa Muumba pekeee
 
Nyie ndio mnaishia kupigika, mtalipa mafuta bei mara tatu sio muda mrefu, Houthi msiba wao unakaribia wanawawekea mpango ulioshiba ili kuwafuta once and for all, hamna akili nyie
Ukiongea kingereza ndio uonekane nini yaani?

Kila siku mpango mpango mpango mpaka lini?

Wewe mwenye akili sikujui lakini nna uhakika umenizidi nywele tu na ufupi pole kijana
 
Alafu uweZi kuongea bila kutaja mashoga unapenda sana habar za mashoga maku wewe ya mama ako...mngese
Nikiwasema mashoga na wasagaji wenzio hua unaumia sana

Ila tukana weee kukusemeni sitoacha mashoga na wasagaji munatakiwa muekwe kwenye shimo kuubwa

Mfano dar nzima iwe shimo halaf lijazwe mamba mule mumiminwe mmoja mmoja mufe wote shenzi taipu halaf wewe ndio unatakiwa uongoze wenzio
 
Na hui ndio ukweli wenyewe ambao wengi hawataki kuusema ama hawaujui

Yemen kwao kufa wakiwa wanapigania haki zao ni ushujaa ulioje nandio maana jamaa hawaogopi na wanatamani siku hao NATO na wenzo wajichanganye watie boot kwa ground

Watu ukiwaambia ukweli kama huu wanakuja juu jiandae kutukanwa ndugu au kuitwa gaidi
 
Kinachonifurahisha ni kuwa hao mashujaa tangu wabondwe na baba la middle east hawajarusha hata jiwe
Sijui umesemaje hapo.Kwa sababu hiyo meli imepigwa na makombora mfululizo mpaka imeripuka na mabaharia kuhamishwa.
 
Ndio maana kila siku hapa JF kuna wawakilishi wanataka hivi vita vya Gaza na Palestina ijapokuwa wanaingia msikiti wa Alaqswa na kufanya uharibifu na mauwaji kwa waislamu lakini wanataka ionekane ni vita vya kugombea ardhi tu.
 
Imani ya hovyo ya mnyazi,
.Yaani majamaa yanapambana kusaka bikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…