Wahouthi wana morali ya juu sana katika vita wakati unapambana nao Ili uokoe maisha yako wao wanapambana Ili wafe
Kuna wakati walikuwa wanachangiwa na mataifa kadhaa ya kiarabu ikiwemo Saudi Arabia, UAE na USA lakini waliweza survive. Hii imewakomaza na kuwapa experience kubwa sana na kuwafanya waone wanaweza ni kama Ile vita ya Iran-Iraq ilivyowakomaza Iran
Wana over 90% support ya wananchi wa Yemen na ndio nchi yenye mpaka mkubwa na Saudi Arabia. Mara ya mwisho visima vya mafuta viwili vikubwa vya Saudia vilivyoripuliwa inaonekana wao ndio waliohusika kwa kiasi kikubwa
Inavyoonekana uoga ushawatoka na wanaona adui anapigika kirahisi