Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Utamchukuliaje mpenzi wako anapomtreat mtu mwengine wa jinsia tofauti vyema na kwa ukarimu zaidi kuliko anavyokutreat wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntachukulia aliyetritiwa vizuri anastahili kutritiwa hivyo.
Labda mie mcharuko!
ntachukulia aliyetritiwa vizuri anastahili kutritiwa hivyo.
Labda mie mcharuko!
mimi nikiongea tu na mtu mwengine sana wa jinsia Tofauti yeye ataudhika sasa ..wakati yeye anatrit wengine vizuri kuliko mm au ndo anataka kujionesha kama na yeye mkarimu!!Ni wazi kabisa kuna vitu anafanyiwa ambavyo wewe huvifanyi! Jaribu kufanya study ndogo ni katika matukio gani anapo mtreat huyo mtu baki vizuri............... then taratiiiiiiiiiiiibu bila yeye kugundua mfanyie, then upime kama treatment itakuwa the same!Naomba kuwasilisha!
ngumi kwanza, maswali baadae