......He!he!he! naniangusha sasa unakuwa kama mzee wa Fuso......huoni hapo juu Mr......... .......!
Nafukuzia Hummer wewe na visadaka vya waumini, fungu la kumi etc etc
I hate Xprofessor Mkusa!
I hate Xprofessor Mkusa!
Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."
Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!
Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine
Rev Masa
Bado pia kwani walisema wanaume wote watakuwa chini na wanawake ndo watakuwa juu!!!eleweni na muache ubishi, yote haya yalifanyika kupunguza unyanyasaji wa wanawake dhini ya wanaume uliokuwepo. Wote sisi ni binadamu tuna mwili, roho n.k. kwa nini kunyanyasa mwenzio kwasababu tuu eti ni MWANAMKE! na je imeandikwa wapi wanawake ni wa kunyanyaswa. Hio ndo iliokuwa sababu ya ule mkutano wa Beijing.Mlienda kutaka usawa, wakati kumbe maandiko yalishasema mimi(Mwanaume) nitakuwa juu!!!
bado pia kwani walisema wanaume wote watakuwa chini na wanawake ndo watakuwa juu!!!eleweni na muache ubishi, yote haya yalifanyika kupunguza unyanyasaji wa wanawake dhini ya wanaume uliokuwepo. Wote sisi ni binadamu tuna mwili, roho n.k. Kwa nini kunyanyasa mwenzio kwasababu tuu eti ni mwanamke! Na je imeandikwa wapi wanawake ni wa kunyanyaswa. Hio ndo iliokuwa sababu ya ule mkutano wa beijing.
Hamna ndoto... kinachotakiwa ni kupendana na kutiiana tuu. Hata maandiko ndivyo yalivyoandika.ndoto za mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hamna ndoto... kinachotakiwa ni kupendana na kutiiana tuu. Hata maandiko ndivyo yalivyoandika.
...😀
NL jinsi ulivyokusanya 'evidence' lol, ...ama kweli, "how a man should love a woman"
Inshallah mwakani nampeleka hijja Mecca!