How a man should love a woman!

How a man should love a woman!

......He!he!he! naniangusha sasa unakuwa kama mzee wa Fuso......huoni hapo juu Mr.........
icon10.gif
icon10.gif
.......!

Hapo baaas tukutane jumamosi makambakoo! I love this...mi nilikuwa naangalia tu

..when a ma loves a woman,,,.....dah
 
Hapo baaas tukutane jumamosi makambakoo! I love this...mi nilikuwa naangalia tu

..when a ma loves a woman,,,.....dah

Mzee K

Fikisha salaam kwa Mzee wa Estonia, Nadhani ameishafika na zawadi yake kwenye FUSO.....kila laheri
 
Masa, mbona umeharibu tena thread yako? The arguments were very interesting from the beginning lakini mkaanza kuharibu kwenye page ya sita....
 
Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."

Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!

Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine

Rev Masa

doh! nilikuwa sijapiia huku. tangu lini umekuwa mchungaji? Bwana apewe sifa!
 
Masa, mbona umeharibu tena thread yako? The arguments were very interesting from the beginning lakini mkaanza kuharibu kwenye page ya sita....

Hii ni JF ndugu yangu, kwenye msafara wa Mamba na Kenge wamo....I can see mazee
 
enyi wake. watiini waume zenu...asema Bwana wa Majeshi
 
Mlienda kutaka usawa, wakati kumbe maandiko yalishasema mimi(Mwanaume) nitakuwa juu!!!
Bado pia kwani walisema wanaume wote watakuwa chini na wanawake ndo watakuwa juu!!!eleweni na muache ubishi, yote haya yalifanyika kupunguza unyanyasaji wa wanawake dhini ya wanaume uliokuwepo. Wote sisi ni binadamu tuna mwili, roho n.k. kwa nini kunyanyasa mwenzio kwasababu tuu eti ni MWANAMKE! na je imeandikwa wapi wanawake ni wa kunyanyaswa. Hio ndo iliokuwa sababu ya ule mkutano wa Beijing.
 
bado pia kwani walisema wanaume wote watakuwa chini na wanawake ndo watakuwa juu!!!eleweni na muache ubishi, yote haya yalifanyika kupunguza unyanyasaji wa wanawake dhini ya wanaume uliokuwepo. Wote sisi ni binadamu tuna mwili, roho n.k. Kwa nini kunyanyasa mwenzio kwasababu tuu eti ni mwanamke! Na je imeandikwa wapi wanawake ni wa kunyanyaswa. Hio ndo iliokuwa sababu ya ule mkutano wa beijing.

ndoto za mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
...😀

NL jinsi ulivyokusanya 'evidence' lol, ...ama kweli, "how a man should love a woman"

....Masa boy kapofuliwa na Mzenj so haoni wala hasikii, ilibidi nimkusanyie vile labda angeweza kuona.....
icon10.gif
icon10.gif
!
 
Back
Top Bottom