bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
kama wangelijua hili Beijing wasinge enda!
yale yale mkulima!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wangelijua hili Beijing wasinge enda!
Kwani Beijing tulienda kudiscuss jinsi ya kuacha kutii waume? wewe kweli mkulimakama wangelijua hili Beijing wasinge enda!
Kwani Beijing tulienda kudiscuss jinsi ya kuacha kutii waume? wewe kweli mkulima
Mlienda kutaka usawa, wakati kumbe maandiko yalishasema mimi(Mwanaume) nitakuwa juu!!![/QUOTE]
ha ha haaaaaaaaaa, juu indeed! ALL THE BEST
Suala kubwa ni UTII wake! Mbona hujibu PM zangu best kulikoni?
ha ha haaaaaaaaaa, juu indeed! ALL THE BEST
Nilijua tutaonana kwenye send off nimevaa ile suti uloninunulia LOL!
Nitajitahidi njoo kwenye harusi Jmamosi basi Bellies!
Nitajitahidi njoo kwenye harusi Jmamosi basi Bellies!
wee Masanilo ulimficha wapi wa ex school mate lakini...
Belinda my darling where have you been eeh?.....nimekutafuta all over nikakutana na mwalimu wako Mr Mkusa (ex IFM) akasema nikusalimie...
Kwani hujui huyu ndiye Mzenj LOL kidding
Mimi na Belinda wacha tu ni kama ndama na masiwa! (Maziwa)