How am i supposed to live without jf, my people,my wapwaaz,my binamuuz

How am i supposed to live without jf, my people,my wapwaaz,my binamuuz

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
i miss everybody here,
i really miss wapwaaz(ORIGINAL NA CHIPOLOPOLO)
i really miss my strong pillers
i really wish to turn back the hands of time AND GO BACK TO THE ORIGINAL JF
i really wish to get what i used to get sometimes back
i really wish to see carmel posting something
i really wish to see x-pin posting something
i really wish to see game theory posting them threads again and again
i really wish to see bht doing it again and again herein
i really wish to see .................

hahahahaha!believe me or not ni kwamba kuna SUDDEN CHANGES HAPA JF ambazo zinanikata stimu hadi naogopa

wapi mupap'aa fidel80?
wapi hommie next level
wapi kaizer wapi bigirita?
wapi maralia i mean klorokwin?

wapi maskini jeuri?wapi pearl wapi js?
wapi mutu ya watu gp?

how can i live WITHOUT YOU GUYS?

haaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hii Version ya sasa ni full kimeo...Bora ya kizamani!..
Hawa jamaa wote wamesema wanashindwa kuendana na mabadiliko ya JF, hivyo wameamua kuonekana kwa nadra purposely!

Nimekubali kwamba OLD IS GOLD...huh!
 
Niko hapa mkuu!
Mkoloni amekamata pabaya.....
Pamoja daima!
 
ni kweli mkuu wangu
hii kitu haizoeleki
WAPI MU'PAPAAAA PIIJEI
STELLA HAJAMBO?
mwambie asimalize hizo taska fl1 ameniagiza nirudi nazi rock-city kule ZIMEKUWA adimu
 
Niko hapa mkuu!
Mkoloni amekamata pabaya.....
Pamoja daima!
halafu mbona unakunywa haraka sana hizo serengeti?
kila saa naona glasi yako emptito
 
ni kweli mkuu wangu
hii kitu haizoeleki
WAPI MU'PAPAAAA PIIJEI
STELLA HAJAMBO?
mwambie asimalize hizo taska fl1 ameniagiza nirudi nazi rock-city kule ZIMEKUWA adimu
Papaa PIIJEI iko inasaka FARANGA ya MBONGO ya MOKILI NA NGAI!
Lakini ikipata FASI ITAKUYA mu'Daslamu kuleta unifikasio ya bana-ndugu bote!

Mule kwa Stella ako na tusker mingi na iko MWASI KITOKO!
 
hahahaha!
nasikia siku hizi unakunywa eagle na banana,NI HABARI ZA KWELI?
Hapo PJ na Preta wanapaswa kunisaidia
Hiyo kitu inatengenezwa kwa ajili ARUSHIANS ONLY
 
Papaa PIIJEI iko inasaka FARANGA ya MBONGO ya MOKILI NA NGAI!
Lakini ikipata FASI ITAKUYA mu'Daslamu kuleta unifikasio ya bana-ndugu bote!

Mule kwa Stella ako na tusker mingi na iko MWASI KITOKO!
HEHEHEHE!
MUPAAAAAA......piijeei
DOOOZEEEE DOZEEEEE
BASHOO BAMII
BAMIIII BAWEEE
STOKATEGORIIIIIII
taaaaraaa mubeeeeeee

sasa ukikamu mu-dar silamu NJOO VILE UNANICHEK
lazima nikupeleke kitambaa cheupe
 
Yuko wapi BAK mwenye mawasiliano yake anipe update pls ...
yuko wapi Dada Chaku Jamani miss u my lady .....
mie nipo nipo tu..
 
Goef I wish I could get some kind of guidance hata basi nijielewe niko wapi

I really miss the old JF chaps

wa ukweli woooooooooooooooooooooote sijui mmendaga wapi bheee!!! mweeh!!
 
ni kweli mkuu wangu
hii kitu haizoeleki
WAPI MU'PAPAAAA PIIJEI
STELLA HAJAMBO?
mwambie asimalize hizo taska fl1 ameniagiza nirudi nazi rock-city kule ZIMEKUWA adimu

Geoff kumbe unanionea huruma mwenzio huku kuna ufisadi wa hii kitu ... sijui imepelekwa wapi?
 
wapi AK???? .................niko hapa pembeni!!!!!!!!!!!........... nachungulia chungulia tu kiaina...... JF mpya inanipa shida kuizoa...................... wenye nyumba wamegoma kusikiliza ushauri wa wapangaji!!!!!!!!!...............
 
hehehehe!
wapi mu-pap'aaa FMES?
wapi mu-pap'aa mkandara?
 
i miss everybody here,
i really miss wapwaaz(ORIGINAL NA CHIPOLOPOLO)
i really miss my strong pillers
i really wish to turn back the hands of time AND GO BACK TO THE ORIGINAL JF
i really wish to get what i used to get sometimes back
i really wish to see carmel posting something
i really wish to see x-pin posting something
i really wish to see game theory posting them threads again and again
i really wish to see bht doing it again and again herein
i really wish to see .................

hahahahaha!believe me or not ni kwamba kuna SUDDEN CHANGES HAPA JF ambazo zinanikata stimu hadi naogopa

wapi mupap'aa fidel80?
wapi hommie next level
wapi kaizer wapi bigirita?
wapi maralia i mean klorokwin?

wapi maskini jeuri?wapi pearl wapi js?
wapi mutu ya watu gp?

how can i live WITHOUT YOU GUYS?

haaaaa

una mistrari Geof... mimi pia nimemis kukuona kwenye forum flan ..... i rilly miss u.
Sasa mbona hujatutaja watu ya nairobi yaani D5, Kimey na Edson!

haha haaa, ngoja nitoke nje naskia miluzi sijui gari la mshahara limepita.
 
Goef I wish I could get some kind of guidance hata basi nijielewe niko wapi

I really miss the old JF chaps

wa ukweli woooooooooooooooooooooote sijui mmendaga wapi bheee!!! mweeh!!
bheeeee!
MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEH!

wapi balantanda?

wapi SIKONGE?
wapi wapi wapi?
 
Back
Top Bottom