How am i supposed to live without jf, my people,my wapwaaz,my binamuuz

una mistrari Geof... mimi pia nimemis kukuona kwenye forum flan ..... i rilly miss u.
Sasa mbona hujatutaja watu ya nairobi yaani D5, Kimey na Edson!

haha haaa, ngoja nitoke nje naskia miluzi sijui gari la mshahara limepita.
hahahahahahaha!
MUTU -YA -NAIROBAREEEEEEEEE MU-PAP'AAAA EDSON WA JF?
hivi huyo kiumbe yupo?
mpe shavu sana mwambie pamojaaaaaaaaaz
halafu zile picha mliahidi mtanipa na mimi nitawapa zangu ofcourse
halafu project yako ni june......

hahahaha!ngoja nitawapandia hewani ninyi
 

Haha haa 2po mpwa, zile pics ninazo tele kwenye pc yangu kama vipi nitaku inbox usikonde, project yangu ni July 31 mpwa, wakumbushe wanajamvi man.

Pamoja sana, JF 1lv.
 
Haha haa 2po mpwa, zile pics ninazo tele kwenye pc yangu kama vipi nitaku inbox usikonde, project yangu ni July 31 mpwa, wakumbushe wanajamvi man.

Pamoja sana, JF 1lv.
poa poa mkuu!
COUNT ME IN..................
takupigia for more logistics
 
Tuwasiliane ili nikulink nae naona umemmiss kweli kweli

nilink basi Fidel80 namiss kiukweli huko alipo mwambie nilimkuta JF mbona anaondoka bila kuaga
namtafuta Companero pia mwenye habari zake pls
 
Kama hufurahishwi na kitu unagoma... Waalimu wa Vyuo Vikuu wanagona, Wanafunzi wanagoma, Waalimu wanagoma... sasa wana JF mnashindwa nini kugoma??
 
Kama hufurahishwi na kitu unagoma... Waalimu wa Vyuo Vikuu wanagona, Wanafunzi wanagoma, Waalimu wanagoma... sasa wana JF mnashindwa nini kugoma??
kwanini ugome?
kwani ni lazima u-surf jf?
sisi tunaipenda sana jf ndo maana tunajaribu kutafuta sana namna ya ku-kopu nayo
 
kwanini ugome?
kwani ni lazima u-surf jf?
sisi tunaipenda sana jf ndo maana tunajaribu kutafuta sana namna ya ku-kopu nayo

Endelea kuvumilia tu Geoff, utazoea tu halafu utaipenda kuliko ya kwanza
 

mmmmm Goeff yaani mie huja nimiss....u can live without me .....sawasawa!!! lakini new Jf haina raha why lie??
 
Last edited by a moderator:
bheeeee!
MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEH!

wapi balantanda?

wapi SIKONGE?
wapi wapi wapi?

Bala yuko anadeka kidogo
hivi na yule GT (GAME THEORY) WAPI YEYE?
 
bheeeee!
MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEH!

wapi balantanda?

wapi SIKONGE?
wapi wapi wapi?

Hahaaa...Bala is always here with the mrs...Ukimuona bht umemuona Bala...Ukimuona Bala Umemuona bht.......

Mimi nauliza waliko hawa jamaa,nawamiss sana

1.Mama
2.Kuhani
3.Dilunga
5.YE
6.YournameisMINE
 
wapi AK???? .................niko hapa pembeni!!!!!!!!!!!........... nachungulia chungulia tu kiaina...... JF mpya inanipa shida kuizoa...................... wenye nyumba wamegoma kusikiliza ushauri wa wapangaji!!!!!!!!!...............

sasa na wewe Ak vipi? ukiizoa sisi tutabaki na nini?
 
Gademu!

wapi kitila mkumbo?
zitto?
masaka?
ama?
dilunga?
sikonge?
wapwa chipolopolo?
 
Gademu!

wapi kitila mkumbo?
zitto?
masaka?
ama?
dilunga?
sikonge?
wapwa chipolopolo?

dah DN hwa sijui wapi kwa kweli afu wote at once!!!!!!!!!!!!!
 
yaaani nimejikuta nacheka tu

halafu sijui nisemeje

FL1 nina ujumbe wako MUHIMU sana, nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…