Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Ni Lugha tu, lakini pia hii ni International forumpovu kwa lugha ya Malkia halinogi....kwanza wachangiaji watakuwa wachache coz wale wafia dini hiyo lugha uliyotumia hawaijui...🙄
Ni zaidi ya matusi mzeeMzee wangu kwa hio Yesu alikua tukunyema si matusi haya
Fwaizaaa fwoxxxxxxShereheke tu.
Mkiambiwa muwe Waislam hamuelewi kuwa mnatolewa kizani na kuitwa kwenye nuru.
That Da Vinci picture has got nothing to do with the last supper and Christianity. It was just a piece of art from a white person.Greetings....
I can completely empathise with many of my Christian friends and family who are extremely uncomfortable with what they saw at the Opening Ceremony in Paris last night.
The use of trans people for this action and mocking the Bible infront of the world is just despicable.
Even if it were carried out by straight people, What in God's name were/are they thinking?
View attachment 3053611
Kwani lengo la maigizo hayo Olympics ni nini ?That Da Vinci picture has got nothing to do with the last supper and Christianity. It was just a piece of art from a white person.
JESUS WAS NEVER WHITE.
Ni kujifurahisha, kama alivyojifurahisha mchoraji wa hyo picha.Kwani lengo la maigizo hayo Olympics ni nini ?
Kujifurahisha katika imani za watu. Je, ni sahihi ?Ni kujifurahisha, kama alivyojifurahisha mchoraji wa hyo picha.
Kuna imani gani kwenye hiyo picha, au nawe ni mfuata mkumbo usiyejua hata misingi ya imani ya kikristo?Kujifurahisha katika imani za watu. Je, ni sahihi ?
Unawatambua wakatoliki ?Kuna imani gani kwenye hiyo picha, au nawe ni mfuata mkumbo usiyejua hata misingi ya imani ya kikristo?
Ndio, nawatambua.Unawatambua wakatoliki ?
Usingeandika hiki.Ndio, nawatambua.
Kuna imani gani kwenye hiyo picha, au nawe ni mfuata mkumbo usiyejua hata misingi ya imani ya kikristo?