jong afrikaanse
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 556
- 830
Mada inahusiana na Christianity na sio Catholism maana hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.Usingeandika hiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada inahusiana na Christianity na sio Catholism maana hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.Usingeandika hiki.
Tunatoa jichoWengajiribu hivyo kwa kina FaizaFoxy waone moto
Utofauti wake ?Mada inahusiana na Christianity na sio Catholism maana hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
The problem is not with the picture, but with the content it presentsThat Da Vinci picture has got nothing to do with the last supper and Christianity. It was just a piece of art from a white person.
JESUS WAS NEVER WHITE.
I canCan’t you mind your own business?
Hapa ni international forum, kule ni jukwaa local...Unahangaika sana aisee. Umefungua li uzi lingine kule unaona haliendi umefungua tena kwa concepts zile zile
Acha kuhangaika kwa yasiyo kuhusu wala kuwa na impact kwako.
Christianity has nothing to do with idols and symbolism but the foundation of Catholism is built on idols and symbolism.Utofauti wake ?
Hivyo ndivyo wafahamu. OkayChristianity has nothing to do with idols and symbolism but the foundation of Catholism is built on idols and symbolism.
Kama unajiona kuwa mkristo, basi soma Biblia huku ukiomba roho mtakatifu azifungue fahamu zako ili uielewe vyema.Hivyo ndivyo wafahamu. Okay
Nikuulize mkuu!!!Kujifurahisha katika imani za watu. Je, ni sahihi ?
Wakatoliki hawatumii na hawaijui Biblia ?Kama unajiona kuwa mkristo, basi soma Biblia huku ukiomba roho mtakatifu azifungue fahamu zako ili uielewe vyema.
Kuna mahali nimesema naumia ?Nikuulize mkuu!!!
Mimi kama Mkristo au wewe kwa Imani yoyote uliyo nayo hiyo picha inakuumiza nini?kuna vitu siyo vya kuvichukulia maanani sana kama wametenda dhambi zipo dhambi tunazitenda zaidi ya hiyo unayoona wametenda wao so stick na imani yako imani haiishi kwenye picha imani inaishi kwenye mioyo ya waamini.
Hawatumii na hawaijui Biblia ndio. Na kibaya zaidi wafuasi wake hawafundishwi kujua/kuelewa kilichomo kwenye Biblia na wanaowaongoza.Wakatoliki hawatumii na hawaijui Biblia ?
Okay.Hawatumii na hawaijui Biblia ndio. Na kibaya zaidi wafuasi wake hawafundishwi kujua/kuelewa kilichomo kwenye Biblia na wanaowaongoza.
Siamini kwenye madhehebu, naamini kwenye ukweli uliopo katika neno la Mungu. Kanisa lolote linalofundisha/hubiri hiyo kweli hilo ni kanisa la Mungu na hapo ndipo naweza kwenda kusali.Okay.
Dhehebu gani wewe ?
Post niliyoku-quote uli-sound kimaumivu ndiyo maana nikasema nilichosema,huwezi wewe ukaona kwa kuchorwa picha fulani ni kosa huku unatenda makubwa zaidi ya mchora picha.Kuna mahali nimesema naumia ?
Maandishi yangu yana sound kumbe ? Sawa.Post niliyoku-quote uli-sound kimaumivu
Kanisa gani hilo ?Siamini kwenye madhehebu, naamini kwenye ukweli uliopo katika neno la Mungu. Kanisa lolote linalofundisha/hubiri hiyo kweli hilo ni kanisa la Mungu na hapo ndipo naweza kwenda kusali.
In short I am a Devoted Christian.
Lolote lile linalohubiri habari njema za ufalme wa mbinguni.Kanisa gani hilo ?