How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

Buku jero tu 😄
Punguza bado kubwa
images (3).jpeg
 
Labla kweli kwakuwa sijawah kuishi na mwanamke ila trust me Mwanamke wangu atafutahia kunikuta bado nna uvulana wangu hvy kila kitu kitakuwa sawa tuu

Hujaishi na mwanamke kinyumba Mbaga, hivyo vitu haviwezekani. Labda uoe ajuza. 😁
Ukisikia wanakwambia "Pingu za maisha" ni pingu kweli, sio utani. Muda wote mkono wa mkeo upo shingoni.
Ukienda bafuni huko, ukikawia anakufuata. Ukimwaga hayo madude yako bafuni, yeye ndio wa kwanza kuyaona kukikucha. Yeye atafahamu unaoga, umeenda haja ndogo au kubwa. Sasa wewe kapige masta, utadakwa mkuu. 😁
 
Back
Top Bottom