How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

Ndio fyeka kila kitu
Yaan pawe peupeeeeee🤣
Zoezi la kufyeka linafaa lifanywe kiustadi na wewe mwenyewe

Wazee tunapenda ziwekwe kwenye kisahani then taratibu usafi ufanyike 🤭

Mambo ya tanga hayo mwaka 47 🤗
 
Zoezi la kufyeka linafaa lifanywe kiustadi na wewe mwenyewe

Wazee tunapenda ziwekwe kwenye kisahani then taratibu usafi ufanyike 🤭

Mambo ya tanga hayo mwaka 47 🤗
Usiniambie zimeshawahi kuwekwa kwenye kisosi zikachambuliwa hehe
Baada ya hapo zilitiwa poda ya baby Johnson et? 🤣🤣🤣🤣

Babu mbaya huyu ukute ulishawekwa mpka kwenye kigoda na chetezo kikiwa kinafuka moshi tayali kuaguliwa🙌😀😀
 
Wazee tupewe ulinzi

Ukipewa huduma ya hivi, sio rahisi kukumbuka kurudi nyumbani 🤭

Mjukuu inaonekana una hatari 🤪
 
Wazee tupewe ulinzi

Ukipewa huduma ya hivi, sio rahisi kukumbuka kurudi nyumbani 🤭

Mjukuu inaonekana una hatari 🤪
Babu maneno hayo hata kwenye kanga yapo
Mambo ya mwambao hayo😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…