How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

Ngoja akutane na yule mwenye mguu wa mtoto G😁
giphy 84.GIF
 
Nimeshashiba mwenzio hapa nikipiga shots zangu mbili naongeza ujasiri wa kupambana na mashindikanaa ya humu..
Palilia kakitambi, siyo shida zako 🤭
Eti mashindikana, mi sitaki ujue 😆😆
 
Palilia kakitambi, shida zako 🤭
Eti mashindikana, mi sitaki ujue 😆😆
Hujaona yanavyohaha!?🤣
Limtu linashinda juani lina maisha magumu!! linaforce uadui kisa uboo🤭 likiona unaongeleshwa na walolilomba sukari inashuka! Likimtaka mwanaume alitake afu asielekee ukawa busy kusemeshwa linawasha moto! Kama lipumbavu hivi..! Nasikia tu mabango kuja direct ndio haliwezi! Lina kazi ya kupita na upepo tu, ukiandika we ni mfupi linapita na upepo unakuta sehem limeshaandika we ni mfupi! Hili senge ni psychobitch aisee😃
 
Hujaoa yanvyohaha!?🤣
Sijaona 😆😂
Limtu linashinda juani lina maisha magumu!! linaforce uadui kisa uboo🤭 likiona unaongeleshwa na walolilomba sukari inashuka! Likimtaka mwanaume alitake afu asielekee ukawa busy kusemeshwa linawasha moto! Kama lipumbavu hivi..!
Kumbe humu vita kubwa ni wanaume 🥴😬🤨 nafikiri na shida ndogo ndogo nazo ni zinachangia, mtu anahisi utabeba danga lake anapopatia ugali wake.

Ndiyo maana sipendi mazoea yaliyokosa mipaka na shobo za kijinga na "ME" humu.
Nasikia tu mabango kuja direct ndio haliwezi! Lina kazi ya kupita na upepo tu, ukiandika we ni mfupi linapita na upepo unakuta sehem limeshaandika we ni mfupi! Hili senge ni psychobitch aisee😃
giphy-downsized 5.GIF
 
Sijaona 😆😂
Subiri utaona tu hayanaga vifua!
Kumbe humu vita kubwa ni wanaume 🥴😬🤨 nafikiri na shida ndogo ndogo nazo ni zinachangia, mtu anahisi utabeba danga lake anapopatia ugali wake.
Vita ni mkali mzee mama, vianaume vyenyewe ushawahi kuviona sasa? Utacheka🤣 danga tena, na watu ni matajiri hawashindi jf kama kina sie jobless😆
Ndiyo maana sipendi mazoea yaliyokosa mipaka na shobo za kijinga na "ME" humu.

View attachment 3579620
Mazoea yaishie kwenye posts tu pm kisanga mama utatupiwa vijembe ili uondoke maana utavuruga soko la watu humu😁

Aiseew! Tumejua kuwatikisa mastar wa jf hawapoi ni maparagraph kwenda mbele unaambiwa🤭
 
Niliwahi kusikia wewe ni gasho, na kauli zako zinafafanua tabia zako.
humu jukwaani kuna ujinga mwingi sana unafanyika,sijui kwa vile hawajulikani, ila licha ya kuwa hatujulikani wala hatufahamiani,tutangulize utu mbele kuliko dhihaka na kudharirishana,rai yangu tudumishe utu, maadili na umoja miongoni mwa wanajukwaa. Ahsante.
 
Subiri utaona tu hayanaga vifua!
Aiseeh mambo ni mengi, tufanye kazi dada.
Vita ni mkali mzee mama, vianaume vyenyewe ushawahi kuviona sasa? Utacheka🤣 danga tena, na watu ni matajiri hawashindi jf kama kina sie jobless😆
Mamilionea wa JF 🤭 kuna wengine wana makasiriko kama wameandamwa na mikopo ya kausha damu 😂.
Mazoea yaishie kwenye posts tu pm kisanga mama utatupiwa vijembe ilinuomdoke maana utavuruga soko la watu humu😁
Sitaki kabisa hizo habari!
Aiseew! Tumejua kuwatikisa mastar wa jf hawapoi ni maparagraph kwenda mbele unaambiwa🤭
giphy-downsized 21.GIF
 
Back
Top Bottom