Umeangalia Fatal seduction? Yule Jacob amechangia niiangalie 180 sbb ndo main character. 180 iko 50/50 reviews, wapo wanaoipa 2/10. Wapo waliosema its not worthy watching… ila me nimeielewaInahusu nini hyo 180 maana nimeiona na Binti wa zamani kaitaja
situmiii kilevi chochote,wala sigara wala ngono, nipo na mke wangu mama kijacho tunatafakari namna ya kulea mimba then mtoto mkuu.bia gani mkuu hiyo inayokupa steam huk ulp maana kimeshika
1. Sifuatilii sana siasa
2. self-reflection
Unastream wapi?3.Arrival
Cheka uongeze siku za kuishiGood evening 🤭 sijui hata nacheka nini, ila nacheka tu 😂
unachapa kazi au unachapwa? Tufafanulie,kazi yako nini?Naamka asubuhi, nasali,naenda kuoga, nakula weed naenda kazini nachapa kazi kwa nguvu zangu zote then narudi home kabla ya kupiga Tena weed nasali kumshukuru MUNGU kwa kunilinda then weed, kuoga, kula, kulala.
Ila bei ya mafuta ndo changamoto, nafikiria kufunga mtungi wa gesi.
Michezo mwanetu 😁😁Kesho maji ya ugoko, hata ukitumbukia huzami...
hyo haki ndio ninayoifikiria au haki ipi unaizungumzia 😁 na hicho kisasi anakilipaje cha hyo haki😅Baba hapati haki inayomridhisha akaamua kubeba jukumu la kulipa kisasi
Acha uwoga, najua kuogelea vizuri sana...Michezo mwanetu 😁😁
Mi huwa na download siwezi kuangalia movie online
mambo yako tukuachie mwenyewe!Najisikia kama Aslay na Nandy kwenye nyimbo yao ya Sublkheri...
Wajisikiaje nawe...
Ni humu tu 🤭Nimwembia akaikoshe vizuri zaidi ya sana
Leo sijui popo Kanyea heaven,Dog kasusa kwenda atajua mwenye
Leo ni Ukuni Day kabla ya muungano wenu
Flip flap Gogjog mbfwamfwa mpaka kucheee😎
Sikuamini😁Acha uwoga, najua kuogelea vizuri sana...
Utayakuta siku yameegeshwa yakuangukie 😂mambo yako tukuachie mwenyewe!
Fafanua mkuu!Tayari maji yashazidi unga huko. 😁
🍻✌️🍺🔥
- Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?
- Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haiterereki?
- Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.
- Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize na maneno ya wahenga
- Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza, kukusikitisha au kukufundisha?
Mbali na ripoti ya tume, binafsi kuna habari nimeisoma CNN imenifanya nijisikie vibaya kuhusu wanaume wanaofundishana online jinsi ya kuwaingilia wake zao wakiwa usingizini. Ni kweli hampewi tendo la ndoa mpaka mnawalevya wake zenu? au ni tabia za ubakaji ambazo baadhi ya wanaume wanazo? umeshawahi kusikia mkasa kama huu kwa Tanzania?
View attachment 3579213
Kama Mo29 yan, afu wananchi twende Dodoma tukaue mmoja baada ya mwinginehyo haki ndio ninayoifikiria au haki ipi unaizungumzia 😁 na hicho kisasi anakilipaje cha hyo haki😅
💪🏽
Ujingaujinga tu😅
Sawa mama’ke
😍
Si ndio 😊 kwanini anibake usiku🥺