Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #81
Kwahiyo sisi tunanyukana we uko huku🤔
Baba kijacho ushaandaa delivery kit ya mama mtu 😂
Kwenye daraja la Tanzanite, kila jumapili karibu for jogging...Sijamalizana na dressing unataka nikamjogie nani😂
Dianna humtaki?Yah bado nnahitaji mke, vp huko 😎
😁😁 unataka kunidumbukiza majini auKwenye daraja la Tanzanite, kila jumapili karibu for jogging...
Ah huyo hapana aisee, ndoa itaanza kwa stress mana mwenzangu huyo ana matukio mengi mno sitomuwezaDianna humtaki?
Abee, good evening 😂
kwanza mimi siishi kahama,kahama ni ukweni mimi naishi mtwara,napenda kuchangamsha jukwaa kwa hadithi zangu baadhi za ukweli zingine za kuchapia,tuendelee kuburudika pamoja, ndo nimerudi home hapa natoka mpirani wife amepika viazi.Holoholo, hivi maisha yako huwa yanaboa kweli?
Wewe kila siku una tukio jipya, ni kweli Kahama ndiyo kumechangamka hivyo?
Inshallah, labda kesho ndiyo siku yako ya bahati utapata ile kitu roho inataka 😂 🤭Monday 😎
Tuesday 😎
Wednesday 😎
Thursday 😎
Friday 😎
😎 Those days… sometimes they don’t give you what you want, even if you want it ngoja tusubiri kesho J2
Akileta matukio utakua unakuja kwangu nakufunika kama kifaranga😉Ah huyo hapana aisee, ndoa itaanza kwa stress mana mwenzangu huyo ana matukio mengi mno sitomuweza
Kesho maji ya ugoko, hata ukitumbukia huzami...😁😁 unataka kunidumbukiza majini au
Good evening 🤭 sijui hata nacheka nini, ila nacheka tu 😂Abee, good evening 😂
Hapana aisee, sitak kufa kwa stress ntafutie mwngn mwenye afadhaliAkileta matukio utakua unakuja kwangu nakufunika kama kifaranga😉
Hebu ngoja tuone kama kesho nitapata😋😋😀😀 yooo nita clean zambiInshallah, labda kesho ndiyo siku yako ya bahati utapata ile kitu roho inataka 😂 🤭
Sawa baba K, kwema Mtwara?kwanza mimi siishi kahama,kahama ni ukweni mimi naishi mtwara,napenda kuchangamsha jukwaa kwa hadithi zangu baadhi za ukweli zingine za kuchapia,tuendelee kuburudika pamoja, ndo nimerudi home hapa natoka mpirani wife amepika viazi.
Chonde chonde, usimu-overdose, jishikilie 😂😂Hebu ngoja tuone kama kesho nitapata😋😋😀😀 yooo nita clean zambi
Sawa mchukue huyu win-one oneHapana aisee, sitak kufa kwa stress ntafutie mwngn mwenye afadhali
Mtu mwenyewe sijampata hapa tuna ota mimi na wewe 😀😀Chonde chonde, usimu-overdose, jishikilie 😂😂