Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,231
- 3,737
Naamka asubuhi, nasali,naenda kuoga, nakula weed naenda kazini nachapa kazi kwa nguvu zangu zote then narudi home kabla ya kupiga Tena weed nasali kumshukuru MUNGU kwa kunilinda then weed, kuoga, kula, kulala.
- Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?
- Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haiterereki?
- Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.
- Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize na maneno ya wahenga
- Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza au kukufundisha?
Mbali na ripoti ya tume, binafsi kuna habari nimeisoma CNN imenifanya nijisikie vibaya kuhusu wanaume wanaofundishana online jinsi ya kuwaingilia wake zao wakiwa usingizini. Ni kweli hampewi tendo la ndoa mpaka mnawalevya wake zenu? au ni tabia za ubakaji ambazo baadhi ya wanaume wanazo? umeshawahi kusikia mkasa kama huu kwa Tanzania?
View attachment 3579213
Ila bei ya mafuta ndo changamoto, nafikiria kufunga mtungi wa gesi.