Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Ooh! Basi mororoooo…Najisikia kama Aslay na Nandy kwenye nyimbo yao ya Sublkheri...
Wajisikiaje nawe...
I’m a Porsche with no brakes..
Ooh! Basi mororoooo…Najisikia kama Aslay na Nandy kwenye nyimbo yao ya Sublkheri...
Wajisikiaje nawe...
unazimalizaje hzo stress humu seran, au ndo mtu akijichanganya unaruka nayeNamalizia stress zangu humu
Nakutafuta kama shiringiNot good, not bad 😎
Ushapata nguvu za kufanya jogging...Ooh! Basi mororoooo…
I’m a Porsche with no brakes..
Pambana mamaHii week ndio imefanya niamini kuwa am married to work😫
Michambo na mivurugano ya JF, hakupoi 😂Namalizia stress zangu humu 🌚
Nzuri, ichekiMi naitaka hiyo umetaja hapo kesho nipambane nayo..
Kabisa, hili ni somo langu pia kwa wiki hii.Zipo nyingi, ila nimejifunza people are not oxygen!
Nimpate wa hivi nimpige kipepsi cha pua, teke la nyuma hatorudia😊
Niko hapa mdada wanguNakutafuta kama shiringi
Weekend yako inamalizaka vpNiko hapa mdada wangu
Jasiri haachi asili 🤣🤣Ndoh mambo yake sasa siunajua mambo ya uswaz
Enjoy!Kupunguza machungu na kujiliwaza
That’s good 😊Not good, not bad 😎
Kama kawaida!unazimalizaje hzo stress humu seran, au ndo mtu akijichanganya unaruka naye
Wapi huko mkuu?Tayari maji yashazidi unga huko. 😁
💪🏽Pambana mama
Ujingaujinga tu😅Michambo na mivurugano ya JF, hakupoi 😂
Sawa mama’keNzuri, icheki
😍Kabisa, hili ni somo langu pia kwa wiki hii.
Si ndio 😊 kwanini anibake usiku🥺View attachment 3579279
Umuachie mapengo akasimulie watu wa kwao 😁
Sijamalizana na dressing unataka nikamjogie nani😂Ushapata nguvu za kufanya jogging...
Hujapetiwa petiwa vizuri wewe 😅😅 hii ni salamu na kujuliana hali tu!unatupetipeti sana, tunajisikiaje wiki imeendaje.
Niko poa, mzima wa afya kabisa!lakini nawewe pia naimani uko poa
Wapi huko mkuu?
Hahhaha kwa wote wenye ndoa zenu🌚Kwa mtoa mada. 😁
Yah bado nnahitaji mke, vp huko 😎Weekend yako inamalizaka vp
Baado unataka mke?