Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #21
Nakutania tu, wewe hilo likitambi lote unatoa wapi?Sio Mimi bhn mama antipass,
Nakutania tu, wewe hilo likitambi lote unatoa wapi?Sio Mimi bhn mama antipass,
Ripoti ya Asumani Chachandu ilinishangaza sana ujue!Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza au kukufundisha?
Haijakutia hasira?Ripoti ya Asumani Chachandu ilinishangaza sana ujue!
Holoholo, hivi maisha yako huwa yanaboa kweli?I feel so good,kuna mwenyekiti wa kijiji chetu tumemfurusha baada ya kubainika na tuhuma za wizi,so nimemchinja jogoo hapa namkula pamoja na mama kijacho wangu Mallerina huku nikijiandaa kusimikwa uenyekiti mpya, raha iliyoje mwanawane?
Nilikasirika sana lakini nilinyetuka nikapata unafuu. Mungu ni mwema.Haijakutia hasira?
Kwenye mihongo yenye tomato sauce na mirinda mbiliNakutania tu, wewe hilo likitambi lote unatoa wapi?
Binti wa zamani unajua sana kupetipetiKila nikiingia online wiki hii 🤦♀️
View attachment 3579216
Tag member unayetaka kumjulia hali weekend hii na umuulize "anajisikiaje"?
Sijakuona siku nyingi mamie, nafurahi kusikia uko poa.Niko poa,Hakika nina amani sana,katika hili namshukuru Mungu.
Japokuwa kuna muda nikikumbuka tu waliozikwa hai Mo29 + report ya chande.Nakosa mzuka kabisa🙌🏾
Hata usitamani, mimi niko kama yule Betina wa katuni za Sani.Mada zako zinafanya nitamani nikuone how you look
Unajisikiaje usiku huu Smart911Kila nikiingia online wiki hii 🤦♀️
View attachment 3579216
Tag member unayetaka kumjulia hali weekend hii na umuulize "anajisikiaje"?
bia gani mkuu hiyo inayokupa steam huk ulp maana kimeshikaI feel so good,kuna mwenyekiti wa kijiji chetu tumemfurusha baada ya kubainika na tuhuma za wizi,so nimemchinja jogoo hapa namkula pamoja na mama kijacho wangu Mallerina huku nikijiandaa kusimikwa uenyekiti mpya, raha iliyoje mwanawane?
How are you feeling?Inasikitisha sana
Sana, makosa yasijirudie 2030Watanzania tumebaki kusikitika chini kwa chini tumekuwa wanyonge furaha hatuna kabsa tunawaza hatima yetu na Rais aliopo inatia simanzi sana kwa kweli