How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

  1. Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje?

  2. Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haitetereki?

  3. Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend.

  4. Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize na maneno ya wahenga

  5. Kuna habari yoyote ambayo imekushtua, kukushangaza, kukusikitisha au kukufundisha?

    Mbali na ripoti ya tume, binafsi kuna habari nimeisoma CNN imenifanya nijisikie vibaya kuhusu wanaume wanaofundishana online jinsi ya kuwaingilia wake zao wakiwa usingizini.
  6. Ni kweli hampewi tendo la ndoa mpaka mnawalevya wake zenu? au ni tabia za ubakaji ambazo baadhi ya wanaume wanazo? umeshawahi kusikia mkasa kama huu kwa Tanzania?

    View attachment 3579213
Nipo apa nacheq harusi ya China tono uku kombolela Mambo ni moto
 
Kwani Mbaga, punyeto utafanya kwa siri au utataka mkeo ajue jambo hilo?
Mimi ukiweza niambia ni kwa vipi ukioa, utaweza kumudu punyeto na mke, nitakuwa sina maswali mengine kwako.
hayo mengine tuyaache,mambo yake tumwachie mwenyewe ila Mbaga Jr usinisahau kwenye harusi yako nimemis kula nyama ya mbuzi na plau,nitakuja na mama kijacho wangu Mallerina
 
Back
Top Bottom