Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Leo nataka tujadili juu ya uelewa wa watu kuhusu namna Mshauri mwelekezi katika masuala ya biashara anavyofanya, au jinsi huduma hii inavyotolewa.Katika kuchokoza mada nisisitize kwamba Business Consultant ni coach lakini sio coach. Ni coach kwa sababu kazi zao huwa zinafanana ila sio Coach kwa sababu Coach anakuwa na passion na aina ya biashara unayofanya au passion na wewe lakini kwa business Consultant it is strictly business.
Business Coach anakuwa interested zaidi na mafanikio yako kuliko Consultant anavyokuwa na mara nyingi Coach ni mentor wako ambaye unamfuata zaidi pale mambo yanapokuwa magumu kwa upande wako lakini business consultant ni kama mfanya kazi wako unayemlipa kwa ajili ya kufikikira,kufuatilia kujifunza kwa ajili yako na biashara yako.Kwa lugha nyingine Business Consultant addresses your knowledge GAP, skills GAP, Experience GAP as well as Professional GAP
Kwa kawaida Consultant huwa lengo lake sio biashara yako ifanikiwe bali lengo lake ni kuhakikisha anakukamilishia SPECIFIC TASK na katika kutekeleza jukumu hilo anaweza kutumia muda wake kukuelekeza na kufanya baadhi ya mambo ili mambo yako yaende. Kwa mfano, unaweza kumtumia consultant iwapo unataka kupata tender fulani ambayo ili kuipata lazima utoe hongo. Sasa Businss consultant anakuwa kama mshauri wako katika tendering process na katika records zako utamuingizia Payments zote ikiwamo zile za rushwa na atazilipia kodi kabisa kisha atamuhonga yule bwana bila kuhitaji kutolea maelezo yoyote yale.
Business Consultant anapaswa kuwa POLYMATH na mtu anayependa kujifunza wakati wote.Anapaswa pia kuwa mwalimu mzuri, na jasiri.
Je, umewahi kufanya kazi na Business Consultant? Kuna Maswali mengi ambayo Consultant huwa anakuuliza je umewahi kuelewa anachokitaka ni nini? Umewahi kuhisi kama consultant anataka kukutapeli?
Karibu tushirikishane namna ambavyo unaelewa kuhusu kazi ya Business Consultant na kama umewahi kutumia huduma hizo kwa hapa nchini na changamoto ulizokutana nazo.