How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Wanaofaidi uhuru wa nchi za Kiafrika ni wachache sana. Ni bora hata wakoloni wangeendelea kutawala. Mbelgiji angebaki Congo, uchumi wa nchi ungekuwa mkubwa sana na kunufaisha wengi. Hapa bongo Mwingereza angebaki tungekuwa na uchumi mkubwa wa kunufaisha wengi. Tulikurupuka kudai uhuru wakati bado hatujawa tayari kujitawala.
 
What a visionary person you are, hata miaka kumi haijapita tayari tuna gbadolite airport ya Chato na Mobutu wetu alishadanja.
 
Mjenge kwa hela zenu si hela ya kodi yetu! Chato kama ilivyo itakaribisha wakina Raila tu na haina umuhimu wa Uwanja wa Kimataifa ikiwa wa Mwanza upo!
Waliweka pamba masikioni, lakini tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea huyu ibilisi sheitwani kabisa maana alikuwa anaipeleka nchi kuzimu ila katangulizwa yeye kuzimu.

Sasa swali bado lipo valid ule uwanja wa ndege Chato una faida gani? Maana Museven na Odinga hawatokwenda tena Chato.

Hizi ng'ombe za mwendakuzimu ilikuwa kila mtu akitowa mawazo chanya walimpachika jina la kibaraka wa mabeberu haya kiko wapi sasa?
 
Kufikia 2023 tutakuwa na Rais mwanamke, hizo story za Chattle zitaisha tu
Mungu akubariki sana, Baba muumba ameingilia kati, huyu shetani wa Chato angeendelea kuvuta pumzi hadi leo wangekufa watu wengi, Mungun wa kweli amesema hapana 2023 ni mbali sana watu wangu watafika wamechoka na wengi watakufa ni bora kuliondowa lishetani limoja tu.
 
Watu bado mna hasira naye mpaka leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…