How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Nina uhakika wa asilimia mia angewauliza wananchi wa chato awafanyie nini kama kweli anawapenda na si kwa sifa kwake uwanja wa ndege usingekuwepo kwenye list.
Viongozi wanasahau wateja wa maendeleo ni wananchi wao
 
Ahsante kaka ...watakaokuelewa wataelewa

magufuli ni mwanachato mzuri kuliko mtanzania...

Magufuli ameiboresha sana chato lakini haitikii wito kwa kuwa sio mji potentual kabisaaa..

Chato INA traffic lights pahali ambapo hata kuona magari yakipishana ni tabu...
 
Hao wana wivu wa kike. Walitarajia upendeleo kama walivyozoea. Huu ni wakati wa KAZI TU
 
Wewe hebu iache geita yangu.
 
Mwili wa Samuel Doe, ukiwa na Dalili


Gofu La Hekalu alilokuwa Akijijengea


Madictator Nani Huwa anawaloga, Ni shetani Gani anawaingia wanasahao wao ni Binaadamu?
 
Hata mimi nahisi huyu mwandisho sio mtanzania, maana Tz kupata kichwa kama hiki labda vizaliwe vizazi vingine visivyotokana na generation hii which is impossible!
waandish kama akina gondwe wanafanya sherehe kuteuliwa ukuu wa wilaya,
 
Hata mimi nahisi huyu mwandisho sio mtanzania, maana Tz kupata kichwa kama hiki labda vizaliwe vizazi vingine visivyotokana na generation hii which is impossible!
waandish kama akina gondwe wanafanya sherehe kuteuliwa ukuu wa wilaya,
 
Aisee, kama ndivyo uelewa wa wengi wetu uko hivi basi ni shidaaa!
 
JPM aache ukabila mapema!!

Nyerere angekuwa kama yeye makao makuu ya nchi yangekuwa MUSOMA. Within just 8 months with 1 Trillion Tshs Expenditure in MAGUFULI's Motherland!!
 

Siamini kama kuna mtu yeyote anaweza kuunga mkono ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, kama yupo, basi huyo mtu hata kumwita mpu.mbavu itakuwa ni kumpamba.
 
Nimefurahi ulichomjibu huyu jamaa, huyu Barbarosa ana-bore lazma ni msukuma tena mtu wa Chato kwa jinsi anavyojibu! hayupo objective kabsaaaa!
Hakuna msukuma mpuuzi kama huyo Barbarosa, wasukuma wanaomuunga mkono JPM wanafanya hivyo kwa hoja sio upuuzi unaofanywa na huyo jamaa hapa!
 
uadilifu upi? unajua uadilifu ww?




Haya ni matokeo ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, nasisi tukiwalea akina Lissu tutafika huko, tuwekee na mji wa syria Libya na Iraq,


Umemuelewa lakini mleta mada au unakurupuka.

Mshaurini vizuri mkuu wa nchi.

Km Chache toka Mji wa Chato kuna kiwanja cha ndege cha Biharamulo eneo la Katoke.
Kiwanja hicho ni cha nyasi kilipaswa kikarabatiwe ili Kitumike kwa manufaa ya Watu wa Biharamulo na Chato.

Miundo mbinu inapaswa iangalie pia masuala ya kiuchumi. Chato haina hadhi ya kuwa na uwanja wa ndege wa kimataifa ni kupoteza rasilimali fedha za umma.

Baada ya Kuhamia Dodoma ambapo napo patajengwa Uwanja wa ndege wa kimataifa viwanja vya ndege vya miji midogo ya pembezoni vitakufa .
Watu watatoka Dodoma na kutumia usafiri wa magari mana patakuwa karibu kwenda Tabora ,Singida, Geita n.k.
Ndio maana huwezi leo ukajenga kiwanja cha ndege Kibaha kwani tayari uwanja wa mwalimu Nyerere unatosha.

Mleta mada anakuonyesha jinsi majumba na viwanja vya ndege alivyojijengea Mabuto Sese seko kwa kuamini kuwa atakua raisi wa maisha vimekufa baada ya kuja kiongozi Mwingine mwenye maono tofauti na yake.

Hata hivyo MUDA ndio utakao toa majibu sahihi kwenye awamu hii ya tano.
 
Ukisikia roho ya kutu ndio hii aliyonayo mleta mada..

Seriously??? Unamfananisha mobutu na JPM??? Aisee kweli kuna watu hata uwape dhahabu watakwambia me sitaki nataka kokoto..

Dirty Politics za mwenyekiti wa kushikishana ukuta zimewaharibu baadhi ya watu akili... mmoja wapo ni...
 

watu wanajivisha pamba masikioni

Ndio mzee zimetawala

Mfalme huwa hakosei ...ndivyo wanavyoamini...

It will be too late

BTW nasikia ameweka mataa ya barabarani chato...ilihali hakuna hata traffic jams.....misuse of resources tu
 
Ukistaajabu ya Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Waza Banga utaona ya John Pombe Joseph Magufuli.

Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Waza Banga (meaning ‘the all-powerful warrior who, because of endurance and an inflexible will to win, will go from conquest to conquest leaving fire in his wake’)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…