How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

Huyo dactar anapigiwa sana promo na dj mark...

Oky kiufupi huku chasimba unaposemea ni pale mbagala majumatitu una kunja kushoto unafata ile barabara mpka kule maturumbanga au chasimba ya wapi mkuu
Hata mimi nimeshangaa kumbe na boko nako kuna cha simba mi naijua ya mbagala tu.
 
 
Nilimpeleka kijana akiwa na picha zΓ ke za vipimo, akaziangalia kisha katoka Hali ya kishangaza akaanza kupamdisha majini, watoto wake wakaleta mafuko makubwa kabisa yenye madawa ya kienyeji.πŸ’ͺ🏿
 
Madaktari wengi ni waumini wakubwa wa nguvu za giza/asili nina mifano hai na wamesaidia wengi sana
Wakati nikiwa mganga wa kienyeji nilifanya nao Kazi kwa karibu sana na wengine walikuwa wateja wangu
Kundi kingine ni viongozi wa dini
 
Madaktari wengi ni waumini wakubwa wa nguvu za giza/asili nina mifano hai na wamesaidia wengi sana
Wakati nikiwa mganga wa kienyeji nilifanya nao Kazi kwa karibu sana na wengine walikuwa wateja wangu
Kundi kingine ni viongozi wa dini
Viongozi wa dini kwenye ibada zao hawapiga majungu waganga na kawaonya kondoo wasiende huko kumbe wao nao wanaendaga huko? Hufata huduma zipi hasa?
 
Kuna mzee mmoja anaitwa mzee Kassim, anajiita Dr. Kuna siku niliona anapewa shavu kwa ajili ya kunyoosha watoto mifupa iliyopinda. Hii ilinishangaza manesi wa Muhimbili wanamuita kufanya hii kazi, sijui kasomea wapi.

Huyu father anayejiita Dr Kassim anapatikana Arusha mostly ila anasafiri kila mkoa - 0765552555. Bahati nzuri number zake za simu nilinote sehemu

Mwaka jana baba yangu mdogo aliangukiwa na gogo la mti mguu ukavunjika twice.
Alipoenda hospital alifanyiwa x ray na akaambiwa inahitajika afingwe hogo.
Watoto wake wakadai hospital ni expensive kuna mama dakatri Kibaha anafinga Hogo less charges. Basi nilipowapa, walienda kwa huyo mama akamfunga. Na wengi wanadai huyo mama anatibu kwa dawa za kienyeji mguu unaunga mapema kuliko hospitali

Wasiwasi wangu ni kuwa baba mdogo angepata matatizo zaidi, cha ajabu alianza kutembelea ule mguu kwa kuukanyagia kabisa in 3 days. Nikaamini hapa kapona
Dah zile dawa za kienyeji zilipoosha akawa analalamika majmivu two weeks later hapo tumemsafirisha akaponee Rombo
Kule Rombo kwenda hospital kupiga x ray kumbe ule mguu ulivunjika twice.
Cha ajabu hakuwa anasikia maumivu
Hizi dawa za kienyeji huwa zinanishangaza sana kwa kweli......
 
Ajengewe mnara mrefu ambao utakuwa na hospital ndani yake
 
Mmh sasa linashangaza hilo jambo, professional kabisa,anakuwa mganga wa kienyeji!!!,hivi vitu si viko mbali kabisa kama maji na mafuta??,na bora angekuwa mganga wa tiba asili,kuliko kuwa sangoma.
 
Mmh sasa linashangaza hilo jambo, professional kabisa,anakuwa mganga wa kienyeji!!!,hivi vitu si viko mbali kabisa kama maji na mafuta??,na bora angekuwa mganga wa tiba asili,kuliko kuwa sangoma.
Madaktari wengi (sio wote)hospitalini ni washirikina hada madaktari bingwa, kuna magonjwa mfano mtu anatakiwa afanyiwe surgery na wachawi wanataka wapitie humo humo mara nyingi hawa madaktari huwa wanajizungusha au wanafanya huku wameweka kinga au wanakushauri mgonjwa wako akatafute tiba mbadala kwasababu huwa wanaona na ukilazimisha mgonjwa anaenda na maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…