How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

How come a Professional Doctor wa MOI awe mganga wa kienyeji? (Kisa cha mganga wa kienyeji wa Chasimba)

Cha ajabu ni nini hasa?Hujui ya kwamba mahospitali ya rufaa yana kitengo hiki?Je wajua ya kuwa kwenye Greek mythology mungu Pharmacia alikuwa mungu wa tiba na ulozi?Hivyo tiba na ulozi havitenganishwi kiurahisi.Hapa Tanzania kuna tiba ya magharibi(aliyosomea dokta wetu),tiba ya asili(iliyokuduwaza) na tiba mbadala(tiba ya mashariki.Kwa daktari mzuri hapa nchini mwenye combination ya tiba asili na tiba ya magharibi hakika huyo ni daktari bora na yeye si wa kwanza.Dokta anakukanda mvunjiko bila kugusa na unapona kwa muda mfupi kwa kanda ya ziwa ni suala la kawaida.
 
Back
Top Bottom