Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Haha sawa [emoji2]Nilishakuambia chenyu hicho cha kiujanjaujanja na cha kuungaunga...hahahhahh😀😛
Anyway kwa leo nitakwaambia kihoro is panic or panic attack
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha sawa [emoji2]Nilishakuambia chenyu hicho cha kiujanjaujanja na cha kuungaunga...hahahhahh😀😛
Yaani umeandika kitabu lakini with a zero brain.Ni vigumu sana kushindana na Wakenya, yaani uje ututawale wakati sisi ndio tunatawala Afrika Mashariki na Kati. Ukienda Bongo unakuta uwekezaji wetu umezagaa, tumetanua hadi Rwanda yote, Burundi yote, Sudan zote mbili, Uganda ndio usiseme, tumeingia hadi DRC kwa Bakongo halafu Mnigeria ujifanye mjasiri wa kuja kutuchokonoa nyumbani kwetu. Waulize Fastjet wameondoka wenyewe.
Yeye aishie huko Bongo maana hao ndio wa kuliwa ovyo, halafu walikua wameanza kumzingua, mara mkaa wa mawe, mara mitambo, mara sijui kaagiza nini Afrika kusini, mara wapiga dili, mara kikampuni uchwara AQUA, mara Wakenya wamehujumu, mara sijui....yaani hawa jamaa ukiwekeza kwao unafaa kuwa na moyo wa simba. Wataibuka na vituko vya kila aina wakati wenyewe hata wakiwachiwa hawawezi maana ni wavivu na wazembe balaa. Mnijeria katinga ikulu kwa Magu, watamtambua, tena yule ni mjanja sana, atawatafuna kimya kimya wakati anawaachia wakenue meno.
Vipi alshabab wameisha?Nilishakuambia chenyu hicho cha kiujanjaujanja na cha kuungaunga...hahahhahh😀😛
Nilishakwambia na ninarudia tena, govi linakusumbua. Kakate mkono wa sweta kabla ya kuongea na watu wenye akili zao.Mywa viroba utamjua tu, hivi bado mnaishi juu ya miti huko tanganyika?..........KIUMBE DUNI!
Viumbe duni vingine Africa hupatikana kilifi.Walewaturkana mababu zao walitengeneza vyombo vya kazi(tools) miaka zaidi ya milioni 4 zizlizopita ,wakati huo mababu zako hapo tanganyika,sijui wahadzabe na WABANTU wenzako wakiwa bado katika hali duni kabisaa...ya unyama(NYANI)...YAANI WAKIWA MASOKWE MAHAYAWANI VILE...kabla ya evolution....read about the oldest archaeological discoveries(Turkana boy), by Richard Leakey.
Nina mashaka leo hii na uwezo wenyu wa kufikiri ,nadhani mtakuwa bado hamjawa wanadamu kamili..yaani you havent fully evolved yet.
Kenyans are the best loosers of all time kila wanachofanya kuihujumu Tanzania wanaibika na kila investors anajua Kenya kati ya watu 10 watu 8 ni majambazi wa uhakika sasa nani anataka kupeleka mradi wake at the maximum risk hivyo, hakuna.chongchung ati wameangukia utosi..lazma wanaokota makopo sasa! 😛
Haha sawa [emoji2]
Anyway kwa leo nitakwaambia kihoro is panic or panic attack
To your surprise it comes from an English word HORROR as being horrified. Horror leads to panic, and waswahili decided to cut right through the word horror and come up withThanks!...but it sounds more like kisukuma ama hata kizaramo...lol!....😛😀
Yaani umeandika kitabu lakini with a zero brain.
Wakenya mnaifuatilia Tanzania kuliko chochote nilifikiri ni nyinyi akina kajamba nani kumbe mpaka viongozi wenu nao wanaugua Tanzaniaphobia
kwenye bomba la mafuta mliangukia pua pamoja na Rais wenu kuenda Paris headquarters total na kwenye Dangote cement napo meangukia utosi pamoja na kutoa offers kedekede kwa Dangote ahamishe kiwanda mmebaki wajane kama kuku aliyemwagiwa maji.
Jamani ndugu zangu,....Walewaturkana mababu zao walitengeneza vyombo vya kazi(tools) miaka zaidi ya milioni 4 zizlizopita ,wakati huo mababu zako hapo tanganyika,sijui wahadzabe na WABANTU wenzako wakiwa bado katika hali duni kabisaa...ya unyama(NYANI)...YAANI WAKIWA MASOKWE MAHAYAWANI VILE...kabla ya evolution....read about the oldest archaeological discoveries(Turkana boy), by Richard Leakey.
Nina mashaka leo hii na uwezo wenyu wa kufikiri ,nadhani mtakuwa bado hamjawa wanadamu kamili..yaani you havent fully evolved yet.