How Dar-Es-Salaam looked like in1887

Naskia enzi hizo Jangwani pale Nyumbu ndio walikuwa wanakatisha kutoka Magomeni kuja Fire kama ilivyo sasa wanavyokatisha kutoka Serengeti kwenda Maasai mara

ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
 
zamani raha sana, nguo moja tu na huna kiatu una enjoy life sana, sasa hivi mtu unajaza nguo kabati viatu rundo, friji inajaa vinywaji na vyakula, nyumba unajenga zaidi ya moja gari ndio kipimo cha kuwa na hela, mtu unajaa hasira na maisha kama chatu aliejeruhiwa! acha tufe mapema tu kwa kweli.
 
Kupanda ndege ilikuwa ni ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…