Ahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..sasa hivi full mashindanozamani raha sana, nguo moja tu na huna kiatu una enjoy life sana, sasa hivi mtu unajaza nguo kabati viatu rundo, friji inajaa vinywaji na vyakula, nyumba unajenga zaidi ya moja gari ndio kipimo cha kuwa na hela, mtu unajaa hasira na maisha kama chatu aliejeruhiwa! acha tufe mapema tu kwa kweli.
Bila shaka hao nyumbu walikuwa wana maskani yao pale mitaa ya Ufipa, kinondoni.Naskia enzi hizo Jangwani pale Nyumbu ndio walikuwa wanakatisha kutoka Magomeni kuja Fire kama ilivyo sasa wanavyokatisha kutoka Serengeti kwenda Maasai mara
ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
Naona kina kanjibai wakiwa katika nyumba za Udongo.
Yes ..
mtu unatafuta nguo ya kuvaa huioni lakini umejaza kabati!, sijui laana hii nani kailtea.Ahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..sasa hivi full mashindano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio
1887? swali zuri sana. Tuka'google' kamera ziligunduliwa lini na kama zilikuwa zimeshafika Daras Salama!hivi enzi hizo kulikuwa na kamera?
"Carrier Corps" wabeba mizigo enzi za vita ya Dunia 1 au 2? Hapo ilipo Karia koo ilikuwa kambi yao.