How Dar-Es-Salaam looked like in1887

How Dar-Es-Salaam looked like in1887

zamani raha sana, nguo moja tu na huna kiatu una enjoy life sana, sasa hivi mtu unajaza nguo kabati viatu rundo, friji inajaa vinywaji na vyakula, nyumba unajenga zaidi ya moja gari ndio kipimo cha kuwa na hela, mtu unajaa hasira na maisha kama chatu aliejeruhiwa! acha tufe mapema tu kwa kweli.
Ahaaaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..sasa hivi full mashindano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskia enzi hizo Jangwani pale Nyumbu ndio walikuwa wanakatisha kutoka Magomeni kuja Fire kama ilivyo sasa wanavyokatisha kutoka Serengeti kwenda Maasai mara

ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
Bila shaka hao nyumbu walikuwa wana maskani yao pale mitaa ya Ufipa, kinondoni.
 


1061940



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom