love is a parcel.., sio kitu kimoja ina mambo mengi sana physical appearance ni mojawapo tu.., (ndio maana hata bibi na babu zetu unakuta bado wanapendana ingawa waliyempenda kwa sura na mvuto sio wa sasa hivi)
Hivyo basi hata mtu akipata ajali akabadilika kama bado character yake ipo bado kuna bond za kuwaweka pamoja.., Cha maana be true to yourself na sio kujifanya somebody else kumvutia mtu.., ukishamnasa anagundua kwamba he/she married a different person.
ndio maana unakuta watu wakishaoana wengine wanachokana baada ya kuanza kuona true colours za wenza wao ingawa appearance wise wanaweza wakawa wamependeza zaidi. Therefore hata ukipenda mtu jitahidi kumpenda zaidi ya appearance base more on their characters na palilia pendo lizidi kukua kila siku
Thank you! Ila sasa what if tabia nazo zitabadilika akawa tofauti kabisa na compatibility haipo tena na ushaoa-will you still love her?
Kama akibadilika kila kila kitu basi atakuwa a totally different person ambae sikutegemea kuwa nae..., ila kama tabia inabadilika sababu ya ajali au ugonjwa basi obligation itanifanya niendelee kuwa nae milele..., our past and what we have will make me remember and carry on to the future.., (hapo atakuwa my own na mimi nikimtupa nani atampokea..?) taishi nae na kumtreat with care hopefully atapunguza hasira asipopunguza...., well thats life and everyone has got their own problems to take care of.
Swali lako na fikra zako zinaendana na upetty cash wako.
unajua kama vyote ulivyompendea vimebadilika kwa hiari (basi sina obligation ya kuendelea kuwa nae wala roho haitanisuta) lakini kama ni kwa bahati mbaya (ugonjwa n.k.) siwezi kumwacha pia kumbuka huruma pia ni emotion kama ilivyo upendo na chuki, hivyo basi hurumu na wajibu utafanya niendelee kuwa nae na bado nitampenda kwa kukumbuka na kujua kwamba deep down niliyempenda bado yupo.Samahani ntaendelea kukuuliza tena-Kwa hiyo kumbe akibadilika kabisa kwa hiyari hapo ndio mwisho wa upendo?
🙂 nadhani akipoteza kiungo tena ndio itakuwa ngumu kumuacha... (sababu ya wajibu na roho itakusuta, huruma ita-take over)Inategemea na kiungo atakachopoteza.
dru hill?
hili somo linawafaa zaidi wanaume...wengi wanaoa mabeauty queens wakidhani watabaki hivyo milele.....kesho na keshokutwa wakishazaa na kuanza kunenepa,maziwa kuanguka....wanaanza tena kusearch dogo dogo...........lol