kwanza tambua kuwa kupass au kufeli kuko kichwani mwako. kwanza jitambue kwa kujiuliza wewe ni nani, umetoka wapi, na unaenda wapi. pili, timetable, si kupang tu ratiba yako ya siku mzima bali na kuifuata bila kukwepa na kwenye hiyo timetable yako zingatia kuwa angalau masaa yasiyopungua matatu kw siku uyatumie kwa kusoma, tatu. hardworking, uewe na jitiada za ziada katika masomo yakokw mfano kutafuta tuition,kwenda library,discussion,na ikiwezeka kutumia mda mwingine tumia mda wako wa free kwa kusoma. nne, kuwa karibu na waalimu wako na wanafunzi wazako kwa kuuliza maswali usiyoyajua. tano, jifunze namna ya kujibu maswali ya mtihani. sita , pitia pastpaper atleast 6 years back. hayo ni machache niliyonayo kwa sasa ambayo kwa juhudi za binadamu chini ya jua anaweza kufanya , ila tabua kuwa kuna mengine mengi ambayo yako juu ya uwezo wetu ambayo atuwezi kuyafanya wala kuyapanga kwa kulitabua ili ibada za mara kwa mara zinaitajika tena sana, muombe mungu afanikishe jitihada na malengo yako. thanks