Mkuu ukweli mtupu jomba! Tujitu tufupi (nyadundos) tuna matatizo mno.
Jana hapo mlimani city sheli kuna kibrother kimoja kifupi kama nyundo kilitaka kunitilia disel kwenye gari ya petrol kukihoji tu kikaja juu eti siyo kazi yangu nilitakiwa kukiambia kuwa nataka petrol.
Kiligomba eti nakidharau Adi ikabidi niondoke tu maana nilitamani kukitia kerebu moja. Sipendi ujinga Mimi kiivyo yaani.