Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu kinaonekana fresh na perfect. Mnapendana bila kujizuia, kila mmoja akiwa tayari kufanya chochote ili kumfurahisha mwenzake. Kila mnapoonana, kuna hisia za uchangamfu, na kila mazungumzo yanakuwa meaningful.
Lakini sijui nini kinatokea hapa katikati (labda kumbukumbu mbovu, labda tu hali ya maisha inabadilika). Miaka au miezi inapita, and suddenly ule uzuri wa mwanzo unaanza kufifia. Yale mazungumzo marefu yanapungua, ucheshi unageuka kuwa mazoea, na mwishowe anakuwa kero. Unajikuta unavumilia tu, unahesabu dakika hadi uwe mbali naye.
Wengi wetu tupo kwenye zombie relationships—penzi limekwisha lakini bado mpo pamoja. Unajua kabisa kuwa haupo hapo kwa mapenzi tena, lakini kwa namna moja au nyingine, unashindwa kutoka. Sijui kama ni huruma, mazoea, au tu hofu ya kutopata replacement bora. Tunaendelea kutesana, kugombana kwa sababu ndogo ndogo, tunakaa kimya kwa muda mrefu bila mawasiliano meaningful, lakini bado hakuna anayechukua hatua ya kuachana.
Inakuwa kama mnavumiliana tu, mkihisi labda mambo yatabadilika, au labda mmoja wenu ataamka na kusema "this is not working anymore." Lakini kwa muda wote huo, kila mmoja anabeba mzigo wa mahusiano yasiyo na furaha, akisubiri kitu ambacho hakijulikani kitakuja lini.