How do we fall out of love? Mapenzi yanaishaje? Miaka inapotea watu wanaishi ndani ya mahusiano yaliyokufa, ni kuhurumiana au hofu ya upweke?

Hakikisha akili zako zinashinda hisia zako, ukiendekeza hisia sana mambo yatagoma kuna maisha baada ya mapenzi utakuja kukutana na tukio kubwa utashindwa kuli handle jiandae kihisia sasahivi binadamu alishashindikana mpaka na shetani kuna dhambi mpya mpya mpk shetani hazijui...🤣
kaza moyo huo amka jifute vumbi kula vizuri enjoy uhai fanya vitu upendavyo ukisubiri kupendwa utatemdwa!.
fact mkuu
 
Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu kinaonekana fresh na perfect. Mnapendana bila kujizuia, kila mmoja akiwa tayari kufanya chochote ili kumfurahisha mwenzake. Kila mnapoonana, kuna hisia za uchangamfu, na kila mazungumzo yanakuwa meaningful.

Lakini sijui nini kinatokea hapa katikati (labda kumbukumbu mbovu, labda tu hali ya maisha inabadilika). Miaka au miezi inapita, and suddenly ule uzuri wa mwanzo unaanza kufifia. Yale mazungumzo marefu yanapungua, ucheshi unageuka kuwa mazoea, na mwishowe anakuwa kero. Unajikuta unavumilia tu, unahesabu dakika hadi uwe mbali naye.

Wengi wetu tupo kwenye zombie relationships—penzi limekwisha lakini bado mpo pamoja. Unajua kabisa kuwa haupo hapo kwa mapenzi tena, lakini kwa namna moja au nyingine, unashindwa kutoka. Sijui kama ni huruma, mazoea, au tu hofu ya kutopata replacement bora. Tunaendelea kutesana, kugombana kwa sababu ndogo ndogo, tunakaa kimya kwa muda mrefu bila mawasiliano meaningful, lakini bado hakuna anayechukua hatua ya kuachana.

Inakuwa kama mnavumiliana tu, mkihisi labda mambo yatabadilika, au labda mmoja wenu ataamka na kusema "this is not working anymore." Lakini kwa muda wote huo, kila mmoja anabeba mzigo wa mahusiano yasiyo na furaha, akisubiri kitu ambacho hakijulikani kitakuja lini.
Kama ni mapenzi ya sex basi KANUNI NI HII ...MAPENZI YA SEX NI KAMA CHAKULA ...HIVYO UWEZI KUFURAHIA CHAKULA KIMOJA ICHO ICHO DAIMA ...HIVYO MAPENZI YA SEX NI ART OF CIRCLE....nilazima mwanamke aendelee kuwa na wanaume wengine hili aendelee kufurahi na kuku furahia wewe pia na kwa mwanaume ni hivyo hivyo ...

Hila ndoa inatakiwa msingi wake usiwe "mapenzi ya sex" bali mambo matatu makuu nayo ni
1)Undugu (familia) na
2)Urafiki na
3)Upendo..

Kamwe mapenzi ya sex yasiwe msingi katika ndoa ...ndoa yoyote iliyo jengwa katika msingi wa sex ni lazima iwe ndoa ngumu , mbaya,,naya kuchosha.
Mtu anaye taka furaha ya mapenzi ya sex nilazima ajue ipo nje ya ndoa zaidi kuliko ndani ya ndoa.
 
Mkuu hata hiyo misingi 3 ikiwepo ili uenjoy sex life ni lazima uwe 'vidumu' pembeni?
 
Ujaelewa nilicho sema ‽ nimesema ili uenjoy sex ni lazima vidumu ila ndoa misingi yake ni hiyo mitatu ikikosekana hiyo mitatu hapo hakuna ndoa ni hasara ...wengi wanadhani ndoa ndiyo msingi wa kuinjoy sex vizuri kumbe siyo. Kama mtu ana oa hili aenjoi sex anajidanganya mwenyewe.
 
Na hili suala ba upendo kuisha ndoani limekaaje?
 
More than 10
Ok.

Basi mnakabiliwa na ego.
Kila mmoja anajiona Yuko sahihi.
Hamna aliye tayari kushuka na kutafuta suluhu.
Na inaonekana hili linakutesa, lishughulikie. Omba mazungumzo na mwenzio. Huenda naye linamtesa pia, anakosa namna ya kuanzisha mazungumzo..

Break the silence.
 
Lakini sijui nini kinatokea hapa katikati (labda kumbukumbu mbovu, labda tu hali ya maisha inabadilika). Miaka au miezi inapita, and suddenly ule uzuri wa mwanzo unaanza kufifia. Yale mazungumzo marefu yanapungua, ucheshi unageuka kuwa mazoea, na mwishowe anakuwa kero. Unajikuta unavumilia tu, unahesabu dakika hadi uwe mbali naye.
Sababu namba moja inayoleta mapenzi kufa ni cheating.

Kama ambavyo chombo cha glass kikivunjika hakikarabatiki, ndivyo usaliti katika mapenzi ulivyo.

Unakuta mwenza ali-cheat na ikajulikana, ila kuna sababu inazuia kuachana.

Kwa mazingira hayo hasa kama msaliti ni mwanamke, hata akisamehewa mapenzi yanakuwa hakuna kabisaa
 
Sasa inatokea mwanamke anasikiliza maelezo ya nje kwamba mpenzi wako (me) anakucheat na yeye anaamini ilhali hajakukuta na huyo mtu wala hakuna charting yoyote kwenye simu why uhukumu mtu na hujamshika
 
Back
Top Bottom