Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
ukiwa single utaanza kujilaumu kwamba mimi nina makosa gani mpaka nisiwe na mtuMambo ya kawaida haya Demi, naamini wewe ni mzoefu wa mahusiano. Hakuna kitu kirahisi kwenye maisha, hata kuwa single tu ni changamoto, jaribu kwa mwaka mmoja utaniambia.
fact mkuuHakikisha akili zako zinashinda hisia zako, ukiendekeza hisia sana mambo yatagoma kuna maisha baada ya mapenzi utakuja kukutana na tukio kubwa utashindwa kuli handle jiandae kihisia sasahivi binadamu alishashindikana mpaka na shetani kuna dhambi mpya mpya mpk shetani hazijui...🤣
kaza moyo huo amka jifute vumbi kula vizuri enjoy uhai fanya vitu upendavyo ukisubiri kupendwa utatemdwa!.
Sasa kwanini mmefikia hali hiyo?Alikuwa chaguo langu kabisaaa 😀😀.
Its complixated. Siwezi kusema kila kitu hapaSasa kwanini mmefikia hali hiyo?
Kuna vijimigogoro vilivyokosa suluhu baina yenu?
Kabisaa yaaanAisee hii kitu haizoeleki, kuna muda unatulia halafu kuna muda unatamani unyanyuke hata usiku wa manane usepe kusikojulikana
Basi hapa ni upepo tu unapita.. Soon mtakaa sawa na Mapenzi yatarejea Kwa Kasi ya kimbunga..Alikuwa chaguo langu kabisaaa 😀😀.
Kama ni mapenzi ya sex basi KANUNI NI HII ...MAPENZI YA SEX NI KAMA CHAKULA ...HIVYO UWEZI KUFURAHIA CHAKULA KIMOJA ICHO ICHO DAIMA ...HIVYO MAPENZI YA SEX NI ART OF CIRCLE....nilazima mwanamke aendelee kuwa na wanaume wengine hili aendelee kufurahi na kuku furahia wewe pia na kwa mwanaume ni hivyo hivyo ...Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu kinaonekana fresh na perfect. Mnapendana bila kujizuia, kila mmoja akiwa tayari kufanya chochote ili kumfurahisha mwenzake. Kila mnapoonana, kuna hisia za uchangamfu, na kila mazungumzo yanakuwa meaningful.
Lakini sijui nini kinatokea hapa katikati (labda kumbukumbu mbovu, labda tu hali ya maisha inabadilika). Miaka au miezi inapita, and suddenly ule uzuri wa mwanzo unaanza kufifia. Yale mazungumzo marefu yanapungua, ucheshi unageuka kuwa mazoea, na mwishowe anakuwa kero. Unajikuta unavumilia tu, unahesabu dakika hadi uwe mbali naye.
Wengi wetu tupo kwenye zombie relationships—penzi limekwisha lakini bado mpo pamoja. Unajua kabisa kuwa haupo hapo kwa mapenzi tena, lakini kwa namna moja au nyingine, unashindwa kutoka. Sijui kama ni huruma, mazoea, au tu hofu ya kutopata replacement bora. Tunaendelea kutesana, kugombana kwa sababu ndogo ndogo, tunakaa kimya kwa muda mrefu bila mawasiliano meaningful, lakini bado hakuna anayechukua hatua ya kuachana.
Inakuwa kama mnavumiliana tu, mkihisi labda mambo yatabadilika, au labda mmoja wenu ataamka na kusema "this is not working anymore." Lakini kwa muda wote huo, kila mmoja anabeba mzigo wa mahusiano yasiyo na furaha, akisubiri kitu ambacho hakijulikani kitakuja lini.
Sio upepo ndugu yangu. Ni issue ya miaka mingiBasi hapa ni upepo tu unapita.. Soon mtakaa sawa na Mapenzi yatarejea Kwa Kasi ya kimbunga..
Mpaka utashangaa imekuwaje.
Mkuu hata hiyo misingi 3 ikiwepo ili uenjoy sex life ni lazima uwe 'vidumu' pembeni?Kama ni mapenzi ya sex basi KANUNI NI HII ...MAPENZI YA SEX NI KAMA CHAKULA ...HIVYO UWEZI KUFURAHIA CHAKULA KIMOJA ICHO ICHO DAIMA ...HIVYO MAPENZI YA SEX NI ART OF CIRCLE....nilazima mwanamke aendelee kuwa na wanaume wengine hili aendelee kufurahi na kuku furahia wewe pia na kwa mwanaume ni hivyo hivyo ...
Hila ndoa inatakiwa msingi wake usiwe "mapenzi ya sex" bali mambo matatu makuu nayo ni
1)Undugu (familia) na
2)Urafiki na
3)Upendo..
Kamwe mapenzi ya sex yasiwe msingi katika ndoa ...ndoa yoyote iliyo jengwa katika msingi wa sex ni lazima iwe ndoa ngumu , mbaya,,naya kuchosha.
Mtu anaye taka furaha ya mapenzi ya sex nilazima ajue ipo nje ya ndoa zaidi kuliko ndani ya ndoa.
Ujaelewa nilicho sema ‽ nimesema ili uenjoy sex ni lazima vidumu ila ndoa misingi yake ni hiyo mitatu ikikosekana hiyo mitatu hapo hakuna ndoa ni hasara ...wengi wanadhani ndoa ndiyo msingi wa kuinjoy sex vizuri kumbe siyo. Kama mtu ana oa hili aenjoi sex anajidanganya mwenyewe.Mkuu hata hiyo misingi 3 ikiwepo ili uenjoy sex life ni lazima uwe 'vidumu' pembeni?
Imenikubali mbona..... Wivu tuUnaipenda English lakini English haikupendi inakukataa
Na hili suala ba upendo kuisha ndoani limekaaje?Ujaelewa nilicho sema ‽ nimesema ili uenjoy sex ni lazima vidumu ila ndoa misingi yake ni hiyo mitatu ikikosekana hiyo mitatu hapo hakuna ndoa ni hasara ...wengi wanadhani ndoa ndiyo msingi wa kuinjoy sex vizuri kumbe siyo. Kama mtu ana oa hili aenjoi sex anajidanganya mwenyewe.
Upendo ukiisha ni uadui umeingia...sema watu wanachangaya wakidhani matamanio ya sex ni upendo kumbe siyoNa hili suala ba upendo kuisha ndoani limekaaje?
Miaka mingi ni mingapi Mpendwa?Sio upepo ndugu yangu. Ni issue ya miaka mingi
More than 10Miaka mingi ni mingapi Mpendwa?
Ok.More than 10
Sababu namba moja inayoleta mapenzi kufa ni cheating.Lakini sijui nini kinatokea hapa katikati (labda kumbukumbu mbovu, labda tu hali ya maisha inabadilika). Miaka au miezi inapita, and suddenly ule uzuri wa mwanzo unaanza kufifia. Yale mazungumzo marefu yanapungua, ucheshi unageuka kuwa mazoea, na mwishowe anakuwa kero. Unajikuta unavumilia tu, unahesabu dakika hadi uwe mbali naye.
Sasa inatokea mwanamke anasikiliza maelezo ya nje kwamba mpenzi wako (me) anakucheat na yeye anaamini ilhali hajakukuta na huyo mtu wala hakuna charting yoyote kwenye simu why uhukumu mtu na hujamshikaSababu namba moja inayoleta mapenzi kufa ni cheating.
Kama ambavyo chombo cha glass kikivunjika hakikarabatiki, ndivyo usaliti katika mapenzi ulivyo.
Unakuta mwenza ali-cheat na ikajulikana, ila kuna sababu inazuia kuachana.
Kwa mazingira hayo hasa kama msaliti ni mwanamke, hata akisamehewa mapenzi yanakuwa hakuna kabisaa