How do you break up with your lover?

Karibu mpendwa hati breka!

hahaha lizy umenichekesha....

back to topic... ongea naye taratibu. mida iwe ya jioni kwa mbaaali unacheza ule mziki wa craig david "walking away"....

Last edited by a moderator:
hahaha lizy umenichekesha....

back to topic... ongea naye taratibu. mida iwe ya jioni kwa mbaaali unacheza ule mziki wa craig david "walking away"....

Hehehe nafurahi umefurahi!Au SAY GOODBYE WA Chris Brown!
 
Last edited by a moderator:
Ukweli ndo huo..hata upakwe sukari na asali utabaki kua hati breka!Uzuri ni kwamba kwa kiasi flani unamvunja kwa nia nzuri!

meona eeh? Ni kwania safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…