Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
maneno yako yananifanya nakosa rahaaa na mawazooo....
Ukweli ndo huo..hata upakwe sukari na asali utabaki kua hati breka!Uzuri ni kwamba kwa kiasi flani unamvunja kwa nia nzuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maneno yako yananifanya nakosa rahaaa na mawazooo....
Karibu mpendwa hati breka!
hahaha lizy umenichekesha....
back to topic... ongea naye taratibu. mida iwe ya jioni kwa mbaaali unacheza ule mziki wa craig david "walking away"....
Ukweli ndo huo..hata upakwe sukari na asali utabaki kua hati breka!Uzuri ni kwamba kwa kiasi flani unamvunja kwa nia nzuri!