how do you express your love

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
wengine wanatoa flowers, wengine wanatoa out, wengine wanaleta zawadi mbalimbali na lots of sms and fun messages

Lakini wengi tukishaingia kwenye mapenzi, tunaishia kuishi kama walimu au watawa... too much cold principles

Wewe unafanyaje??
 
Hivi kweli unategemea watu watakwambia wanavo fanya bila wewe kuanza?
 
nakuwepo ninapohitajika. kama sio kimwili basi kiroho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…