F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Apr 28, 2022 #21 H blogger said: Ulikuta wazazi wako wanaitumia hii taa. Nawe ukaitumia. Alafu bado hujajenga hadi leo.hujaoa na unakaa home kwenu. Wewe nenda tu UKRAINE,ukipoma ishaalaah maana huna maana tena. View attachment 2202626 Click to expand... Huu ni uongo tu kuna watu wanaoa wakiwa na miaka 60 na maisha yanakuwa mazuri, kila mmoja na maisha yake.
H blogger said: Ulikuta wazazi wako wanaitumia hii taa. Nawe ukaitumia. Alafu bado hujajenga hadi leo.hujaoa na unakaa home kwenu. Wewe nenda tu UKRAINE,ukipoma ishaalaah maana huna maana tena. View attachment 2202626 Click to expand... Huu ni uongo tu kuna watu wanaoa wakiwa na miaka 60 na maisha yanakuwa mazuri, kila mmoja na maisha yake.
Bae Sca Member Joined Apr 27, 2022 Posts 26 Reaction score 21 Apr 28, 2022 #22 George Barran said: Jf Hanna watu wa aina iyo mkuu umepotea njia uku wote tuna kazi nzuri na mishahara minono Tunaenjoy maisha Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app Click to expand... We kaka una moyo wa ajabu Una mshahara mnono halafu unatumia Infinix
George Barran said: Jf Hanna watu wa aina iyo mkuu umepotea njia uku wote tuna kazi nzuri na mishahara minono Tunaenjoy maisha Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app Click to expand... We kaka una moyo wa ajabu Una mshahara mnono halafu unatumia Infinix