Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endapo utamwambia it's over alafu yeye aseme ntakufa na wewe au ama zako au zangu kama nilivyoambiwa
labda anataka kupima altitude ya malove kutoka usawa wa moyo?
Hii lugha tuacheni utani jamani...Ina wenyewe hii!....huh!
Mimi ningekuwa wa aina yako ningeandika kiswahili, bora lawama kuliko fedheha.