How do you move on from someone perfect

Jipe muda zaidi nadhani wewe ni aina ya watu ambao kuachilia jambo unalopenda inachukua muda sana.
 
Jipe muda zaidi nadhani wewe ni aina ya watu ambao kuachilia jambo unalopenda inachukua muda sana.
A year mzee. Sema it's true I will give time.
Ila a year. Nimejisahaulisha everything. Bado napata relapse that I still have her. Yani hata kuongea nae siongei nae wala kumuona in year. I don't even care or what to know what she does. Ila why relapse?
 
huwa inatokea hasa kwa mtu ambae uliwekeza malengo kwake.
 
Yani am smart enough for that. I put my brain off. Ila at this point sielewi. You don't care or want her again. And still she is your happyness.
Ukweli ni kwamba bado unampenda that's why unashindwa kumsahau, trust me ukirudi kwa huyo binti na akajua udhaifu wako huu umekwisha akiamua kukumaliza.
 
Ukweli ni kwamba bado unampenda that's why unashindwa kumsahau, trust me ukirudi kwa huyo binti na akajua udhaifu wako huu umekwisha akiamua kukumaliza.
Kurudi sitaki mzee. Hiyo ndo shida na kumsahau nashindwa. To get better than her. Still searching. A year not even close. Nimechoka kuwa demu mpya kila month or week. Ni economic unviable, timewasting. Na taka ni reset nashindwa
 
Nimewaza..

1.Labda Upo desperate kumreplace,so kila unayemuona unamuweka katika vipimo vya your ex,hivyo hutorizika na yeyote katika hali hiyo..sababu hutompata wa kufanana nae.

2.Labda hujakubaliana na uhalisia kwamba hayupo,na mlichokua nacho kimeisha...utaendelea kuona kama yeye ni sehemu inayokosekana kujikamilisha wewe.Kubaliana na uhalisia.

3.Labda,ni kama kuna amani au vitu unavyovikosa na unajaribu kuvioutsource uvipate kwenye mahusiano,kitu ambacho si sahihi.Kinachokutokea ni matokeo ya kilichomo ndani yako,tengeneza vya ndani yako kwanza.

4.Kama ulivyopenda alivyooffer kwenye uhusiano wenu,unaweza penda atavyooffer mwingine.Muhimu upendo wa dhati uwepo,then ruhusu akili yako ijifunze mapya ambayo ni tofauti na uliyoexperience kwa ex wako utapenda tena.

5.Na labda kuachana nae ilikua ni nzuri kwako...na ni nzuri kwako kupata anayekupenda kama ulivyo.Maana binafsi,sidhani kama kuwa na mtu ambaye hasettle for less ni nzuri in the long run,kuna kipindi hutohitaji hiyo.

6.Ni hali ya mpito,unachofeel ni kawaida,kitapita na kuisha.Jipe muda.
 
I learn some thing here. Thank you
 
My ex...we si uliniacha Mimi Kwa madai yako nazingua, sasa ndo upambane na Hali yako hahahah
 
Asee upo Kama Mimi mkuu...japo mi sjamuacha Ila uyu mwanamke Ana tabia unique ambazo majaribu kudate na wanawake wa aina tofauti but huyu she make me complete...now tuna mtoto mmoja Sasa.
 
Asee upo Kama Mimi mkuu...japo mi sjamuacha Ila uyu mwanamke Ana tabia unique ambazo majaribu kudate na wanawake wa aina tofauti but huyu she make me complete...now tuna mtoto mmoja Sasa.
Hongera . Yani kwa ground hii only uniqueness matters
 
Aisee I never new that exist mpaka nilipomuona mdogo wangu anakaribia kufa kisa demu. Mabroo na washkaji tumeongea ila wapi yani dog halali, hali hafanyi kazi kisa mtu mmoja. Mwanamke na duniani Kuna zaidi ya bilioni 4.5. Japo alikosa yeye ila sio kwa kuomba msamaha huo. Yani unaombwa mpaka unasema kwani yake special?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…