Nimewaza..
1.Labda Upo desperate kumreplace,so kila unayemuona unamuweka katika vipimo vya your ex,hivyo hutorizika na yeyote katika hali hiyo..sababu hutompata wa kufanana nae.
2.Labda hujakubaliana na uhalisia kwamba hayupo,na mlichokua nacho kimeisha...utaendelea kuona kama yeye ni sehemu inayokosekana kujikamilisha wewe.Kubaliana na uhalisia.
3.Labda,ni kama una amani au vitu unavyoikosa na unajaribu kuioutsource uipate kwenye mahusiano,kitu ambacho si sahihi.Kinachokutokea ni matokeo ya kilichomo ndani yako,tengeneza vya ndani yako kwanza.
4.Kama ulivyopenda alivyooffer kwenye uhusiano wenu,unaweza penda atavyooffer mwingine.Muhimu upendo wa dhati uwepo,then ruhusu akili yako ijifunze mapya ambayo ni tofauti na uliyoexperience kwa ex wako utapenda tena.
5.Na labda kuachana nae ilikua ni nzuri kwako...na ni nzuri kwako kupata anayekupenda kama ulivyo.Maana binafsi,sidhani kama kuwa na mtu ambaye hasettle for less ni nzuri in the long run,kuna kipindi hutohitaji hiyo.
6.Ni hali ya mpito,unachofeel ni kawaida,kitapita na kuisha.Jipe muda.