How do you move on from someone perfect

How do you move on from someone perfect

Kuna mtu nimekutana nae nimegundua tumeandana usocial na kupenda kuimba.Imeniuma sana kumpoteza lakini niliposhtuka tu huyu anataka wa kumkojolea tu Kwa wakati huu....nikasahau kilakitu....ndoto zangu zote tupa kule Nime🏃🏃🏃🏃🏃. Sometimes tufunge mioyo Ili tu kukwepa dharau
 
As my tittle, niki sema perfect I mean perfect. Yani we have the chemistry ambayo tunaelewana. We broke up kisa nilikuwa busy na kazi za watu alafu mkoa mwingine. Ni kasema fresh. 1 year in. I can't replace her. All the girls napata amna hata anamfikia on filling my soul. Yani she completed me. Ingawa I used to hustle to fill her desire ila she completed me.

Shida inakuja kila girl napata amna kitu yani nikama 20 plus girls wote empty + na include 400+ ninao wajua ( I know alot of girls don't ask me why). Sio kwamba ni mzuri sana ila tabia yake ni adimu sana. She never settle for less. I miss that life. Sasa kila ninaempata loves me the way I am. Am not motivated, I dont get the proudness and the struggle to fight for love. Mapenzi yame kuwa mepesi sana. Kuna siku na struggle hadi kulala nikifikilia yani nothing settles. Nimemuona juzi kati ndo kabisa. been a year apart am still in love with her.

Wazee mnatokaje kwenye hili? Kupiga nimepiga kila type na rangi hadi Arabian Girls, ila i still want just her . Kurongwa silogeki kifala, am self aware and I still fail to let her go. ( note: I tried therapy it failed, pombe failed) sijui what's next [emoji17]
Huu mwandiko mzee dah
 
I have no issues,, with her. I don't even care what she does with her life. Why the f . I still remember her and I can't get the same feelings with other women. It's like she left a threshold line in my life the other woman has to break smh....
She left nothing but pain in you because you loved her so much(sio vibaya kumpenda mtu). Unamuwaza sana kwa sababu huja move on and that's why you see there is no one like her so far, erase this from your mind&heart because she is no longer yours and she can't be yours, na kwa muda uliopita she doesn't deserve to be yours anymore, it's difficult but it's possible otherwise even if you find an angel you'll see that it's still not right for you . She saw that you were not meant for each other that's why she left you.
 
Kuna mtu nimekutana nae nimegundua tumeandana usocial na kupenda kuimba.Imeniuma sana kumpoteza lakini niliposhtuka tu huyu anataka wa kumkojolea tu Kwa wakati huu....nikasahau kilakitu....ndoto zangu zote tupa kule Nime🏃🏃🏃🏃🏃. Sometimes tufunge mioyo Ili tu kukwepa dharau
Kuna mambo yanaepukika tukiweka hisia pembeni na kutanguliza akili.
 
She left nothing but pain in you because you loved her so much(sio vibaya kumpenda mtu). Unamuwaza sana kwa sababu huja move on and that's why you see there is no one like her so far, erase this from your mind&heart because she is no longer yours and she can't be yours, na kwa muda uliopita she doesn't deserve to be yours anymore, it's difficult but it's possible otherwise even if you find an angel you'll see that it's still not right for you . She saw that you were not meant for each other that's why she left you.
Her reasons to leave me were terrible but I don't really care about her. The problem I cant date anything less than her. Iyo ndo shida. Ni kama threshold point I have to reach. Niwe happy. Na I can't reach it or find anything better. Erasing it. Nimefanya sana. Niki review naona amna kitu hapa. Shida shida tu
 
Back
Top Bottom