How do you say it in English "Wako katika ujenzi wa taifa"?

kwani taifa linajengwa na nini? In terms of materials, tools, labourers, na technical expertism
 
Naona hapa wengi wamechemsha
Maana naona mleta mada anamaanisha kumalizia barua (wako) kama yours

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Uko sahihi mkuu maana nimejaribu ku google holaah! nadhani ni kweli alichosema mchangiaji mmoja hapo juu kwamba huenda ni kwa sababu wenzetu wengi tayari mataifa yao walishayajenga! kwa hiyo hawana aina hii ya maajali kwenye uandishi wao!
 
kwani taifa linajengwa na nini? In terms of materials, tools, labourers, na technical expertism
naamini vyote + vingine zaidi ya ulivotaja....by definition A nation is a stable community of people, formed on the basis of a common language, territory, history, ethnicity, or psychological make-up manifested in a common culture
 
Uko sahihi mkuu maana nimejaribu ku google holaah! nadhani ni kweli alichosema mchangiaji mmoja hapo juu kwamba huenda ni kwa sababu wenzetu wengi tayari mataifa yao walishayajenga! kwa hiyo hawana aina hii ya maajali kwenye uandishi wao!

Nafikiri jibu ndio hilo mkuu
Maana kuandika Yours in National building sijui kama litaleta maana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom