How do you sleep with your partner

How do you sleep with your partner

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346
lalaz.jpg
 
hAPO YANGU HAIPO,LABDA HIZO MBILI ZA MWISHO!!KTK USINGIZI HUWA SITAKI MCHEZO,NALALA HASWAAA KUPATA MAXIMUM RELAXATION .CPENDI KUBANWABANWA AU KUMBANA MTU
 
Mbona hujaweka ya style ya mzungu wa nne ? Acha kutunyanyapaa.
 
hizo style nyingine na joto la dar ni sooooo,plus na umeme wa dowans :wink2:
 
Waoo nimependa

Sayang & usually oldman and young women sleeping style :wink2::wink2:
but huwa tunalala mzungu wa nne
 
hizo style nyingine na joto la dar ni sooooo,plus na umeme wa dowans :wink2:

kwa kweli...umesahau na shida ya maji bado pombe......walahi, tukutane tu for reproduction then kila mtu alale mbali na mwenzie.....:wink2::wink2:
 
a man want to leave a woman
i like that lol
 
mi nimependa hiyo old couple sleeping style especially nikiwa kwenye baridi zetu....l.o.l:rain:
 
A man wanted to leave a woman nimeipenda maana ndo yangu nikiwa nachomoka asubuhi kwenda nyumba ndogo, asinisikie hata kidogo
 
Old couple..sayang na feature plan ndo zimetulia kama bado mapenzi yapo na joto halizingui!
 
Back
Top Bottom