How do you Sleep with your Partner??

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
745
Reaction score
23
Nataka kujua hili wana JF ili nisimkwaze Partner wangu coz huwa analalamika sijui kulala fresh!!!Nipe hizo Styles Bandugu!!
 
Nataka kujua hili wana JF ili nisimkwaze Partner wangu coz huwa analalamika sijui kulala fresh!!!Nipe hizo Styles Bandugu!!
Ziko mingi sana kule kwa Marie-Roza!...si wapajua eeh?
Bora umeachana na ile nanihii kule!
 
Teh teh!! Pamoja Mkuu naheshimu mawazo yenu!!!

Inawezekana huwa unajitanua kitanda kizima, au unamtupia miguu tumboni, au huwa unakoroma na kudondosha udenda. jaribu kulala nae mzungu wa nne leo uone kama kesho atakusema tena.
 
Mzungu wa nne mbona NOMA!! Hiyo sasa itakuwa ya kupeana TALAKA!!

Inawezekana huwa unajitanua kitanda kizima, au unamtupia miguu tumboni, au huwa unakoroma na kudondosha udenda. jaribu kulala nae mzungu wa nne leo uone kama kesho atakusema tena.
 
Amenifundisha baadhi ndo maana natafuta nyingine ili anione angalau nimekuwa mbunifu!!!

usistuke bro kama vipi mwambie akufundishe mwenyewe kwani huyo ndo mpenzi wa kweli.
 
Pls ni kulala 2 and NOT to DO the NIDFULL!!!

Kama ni hivyo naungana na Poet, au pia inawezekana unalala kama uko peke yako kitandani, maana kuna wanawake wengine wanapenda mpumuliane, au mkumbatiane usiku kucha. Ila ungetuambia huwa unalalaje ingetusaidia zaidi kuona hizo kasoro
 
Lala bila Nguo yeyote! Tumia Mouthwash na kabla ya kulala piga Mswaki

Inawezekana huwa unajitanua kitanda kizima, au unamtupia miguu tumboni, au huwa unakoroma na kudondosha udenda. jaribu kulala nae mzungu wa nne leo uone kama kesho atakusema tena.

mzungu wa nne huyo atakua msela sio mpnz
 
mi nimekuchgulia picha ya mwisho upande wa kulia hope hiyo itawapendeza wote.
 
kweli naona watu wanakupenda ili uweze kuishi vema na mpenzi wako. Jitahidi kupiga mswaki kabla haujalala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…