Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Wakuu, naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu.
Ana best friend wa kiume ambaye wamekuwa close for a long time. Wanaelewana sana, wanashare almost everything, and deep down, anahisi huyo ndo mwanaume sahihi kwake. The problem is—huyo mwanaume tayari yupo kwenye serious relationship!
Sasa rafiki yangu anajiuliza, je, kuna njia ya kumfanya huyo jamaa amuone zaidi ya urafiki bila kuharibu everything?
• Is it wrong to go after him despite him being taken?
• Anawezaje subtly kumvutia bila kuonekana kama anaharibu relationship ya watu?
• Kwa wale waliowahi kutoka na marafiki zao wa karibu, ilikuwaje? Ilifanikiwa au iliharibu urafiki?
She is so confused right now. Kuna mtu amewahi kuwa in a similar situation? Advice please! 🤔