Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Si useme tu mhusika ni wewe. Unatumia fake id na bado unaogopaWakuu, naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu.
Ana best friend wa kiume ambaye wamekuwa close for a long time. Wanaelewana sana, wanashare almost everything, and deep down, anahisi huyo ndo mwanaume sahihi kwake. The problem is—huyo mwanaume tayari yupo kwenye serious relationship!
Sasa rafiki yangu anajiuliza, je, kuna njia ya kumfanya huyo jamaa amuone zaidi ya urafiki bila kuharibu everything?
• Is it wrong to go after him despite him being taken?
• Anawezaje subtly kumvutia bila kuonekana kama anaharibu relationship ya watu?
• Kwa wale waliowahi kutoka na marafiki zao wa karibu, ilikuwaje? Ilifanikiwa au iliharibu urafiki?
She is so confused right now. Kuna mtu amewahi kuwa in a similar situation? Advice please! 🤔
Kwa nini unadhani hivyo? Kwani hakuna mtu aliyewahi kutoka na best friend wake na wakaishia kuoana? Just curious to hear different perspectives.Ataliwa na kufurahia sexy lakin hata weza kuolewa
Interesting point! Unamaanisha kwamba once wakianza mahusiano, urafiki hauwezi kudumu tena kwa sababu ya dynamics mpya? Lakini vipi kuhusu wale ambao wameanza kama marafiki na wakaishia kwenye ndoa yenye mafanikio? Au unadhani ni rare?Wakiwa wamoja kiroho na kimwili ,ajue urafiki wao utapotea na kutoweka mazima na hiyo husababishwa na wivu.
ule useriousness utapotea baada ya kujuana kiundani zaidi.
kwa mtazamo wa hawa wawili inakuwa ngumu kudumu na hii ni kwa sababu mwanaume huwa ni vyepesi kukamatwa na mitego ya mwanamke pale tu anapokuwa hana sehemu ya kupatia [uterezi] wa uhakika.Interesting point! Unamaanisha kwamba once wakianza mahusiano, urafiki hauwezi kudumu tena kwa sababu ya dynamics mpya? Lakini vipi kuhusu wale ambao wameanza kama marafiki na wakaishia kwenye ndoa yenye mafanikio? Au unadhani ni rare?
Ukubwa Raha sanaaaaaWakuu, naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu.
Ana best friend wa kiume ambaye wamekuwa close for a long time. Wanaelewana sana, wanashare almost everything, and deep down, anahisi huyo ndo mwanaume sahihi kwake. The problem is—huyo mwanaume tayari yupo kwenye serious relationship!
Sasa rafiki yangu anajiuliza, je, kuna njia ya kumfanya huyo jamaa amuone zaidi ya urafiki bila kuharibu everything?
• Is it wrong to go after him despite him being taken?
• Anawezaje subtly kumvutia bila kuonekana kama anaharibu relationship ya watu?
• Kwa wale waliowahi kutoka na marafiki zao wa karibu, ilikuwaje? Ilifanikiwa au iliharibu urafiki?
She is so confused right now. Kuna mtu amewahi kuwa in a similar situation? Advice please! 🤔
Ohoooo kumbeKuna msemo wa Kisukuma unasema, " A man who hangs around a beautiful girl without speaking his intention ends up fetching water for guests at her wedding. "